Musukuma ataka Wabunge wapite maeneo ya VIP na wenza wao

Me mgeni kidogo VIP ni njia ya kuingia kwenye ndege ama ama ni seat
 
Tarehe 08 may 2025
1.Sam Altman – OpenAI
2. Lisa Su – Mkurugenzi wa AMD
3. Michael Intrator – Mkurugenzi wa CoreWeave
4. Brad Smith – Rais wa Microsoft walienda kwenye bunge la USA
Kuishauri Seneti kuhusu jinsi Marekani inavyoweza kuongoza katika teknolojia ya AI mbele ya China.

Sisi bunge letu mtu analeta hoja wenza kupewa heshima ambazo hazina maana kabisa kabisa, wakimaliza hayo akili inawaza wakakope
 
Waweza itumia kuondoka na ndege au ukishuka kwenye ndege ila unalipia sio bure

Tofauti na lounge za kawaida ukisubiri kupanda ndege au ukishuka

ViP lounge unapewa special treatment gari yako tu kwenda kupanda ndege au ukishuka kwenda VIP lounge nk hupandi yale mabasi ya jumla ya watu wengi au kutembea kwa miguu nk
 
Na wanapeleka hoja ya dharula wenza wa wastafu nao wapate Pension na inapita kwa speed ya light
Tarehe 08 may 2025
1.Sam Altman – OpenAI
2. Lisa Su – Mkurugenzi wa AMD
3. Michael Intrator – Mkurugenzi wa CoreWeave
4. Brad Smith – Rais wa Microsoft walienda kwenye bunge la USA
Kuishauri Seneti kuhusu jinsi Marekani inavyoweza kuongoza katika teknolojia ya AI mbele ya China.

Sisi bunge letu mtu analeta hoja wenza kupewa heshima ambazo hazina maana kabisa kabisa, wakimaliza hayo akili inawaza wakakope
 
Tatizo la mbunge Msukuma ni upeo mdogo wa elimu

ViP lounge ni pesa yako tu hata ukitaka ukoo mzima upitie hapo

Si suala la kuomba spika aruhusu
Kumbe huwa mnafahamu vizuri mambo haya ila mnajitoa ufahamu tu.

Ajabu kesho ikiletwa taarifa humu kwamba hilo limepitishwa kwa kishindo na serikali itagharamikia wabunge vilaza na familia zao kupita VIP mtaunga mkono kwa nguvu zote!
 
Kumbe huwa mnafahamu vizuri mambo hata ila mnajitoa ufahamu tu.

Ajabu kesho ikiletwa taarifa humu kwamba hilo limepitishwa kwa kishindo na serikali itagharamikia wabunge vilaza na familia zao kupita VIP mtaunga mkono kwa nguvu zote!
Sidhani kwenye hili
 
Waweza itumia kuondoka na ndege au ukishuka kwenye ndege ila unalipia sio bure

Tofauti na lounge za kawaida ukisubiri kupanda ndege au ukishuka

ViP lounge unapewa special treatment gari yako tu kwenda kupanda ndege au ukishuka kwenda VIP lounge nk hupandi yale mabasi ya jumla ya watu wengi au kutembea kwa miguu nk
Oohkumbe sawa
 
Hawa wabunge huwezi kuwasikia wakizungumzia utekaji
 
Cta shangaa kwa serikali ya CHURA a.k.a Dalali ikakubali ili wapitishe madawa y kulevya n pembe za ndovu. Ndio wanacho waza CCM kwa sasa na si kutetea wananchi.
Kazi ni kipimo cha utu
Kumbe unajuwa hili, kuna mtu ni ..
Huwa anapitisha madawa. Yaani kwenye familia siyo siri tena. Haya mambo ya watu kupita VIP wengine wamepata fursa ya kufanya maovu. Ila tusitegemee lolote kufatiliwa kwenye Serikali wanaotoka ccm wote wamoja. Tanzania ni Mungu mwenyewe atuamulie na haya mashetani ya kijani.
 
Tarehe 08 may 2025
1.Sam Altman – OpenAI
2. Lisa Su – Mkurugenzi wa AMD
3. Michael Intrator – Mkurugenzi wa CoreWeave
4. Brad Smith – Rais wa Microsoft walienda kwenye bunge la USA
Kuishauri Seneti kuhusu jinsi Marekani inavyoweza kuongoza katika teknolojia ya AI mbele ya China.

Sisi bunge letu mtu analeta hoja wenza kupewa heshima ambazo hazina maana kabisa kabisa, wakimaliza hayo akili inawaza wakakope

Na kuna yule mbunge wa Kinondoni naye anapendekeza kuwa wabunge wapewe special number plates za magari yao !!
 
Nafikiri Musukuma yupo sahihi 100% ,,, sasa Bunge la nchi linajadili misaada kila kukicha miaka nenda rudi...
 
What a country!!!

Ila neno ponjoro linachekesha
GstCjU2WYAA7qzk.jpg
 
Back
Top Bottom