Kukosa elimu ya darasan hakuondoi ukweli na uhalisia wa jambo husika..kasema ukweli na ushahidi anasema upo unataka nn wewe kama sio kutaka kukwepesha ma fileHapo ndio tunawaambia mara zote umuhimu wa elimu... Angalia sasa garbages za huyu zero brain... Mnadhani angefika hata form four angeandika upuuzi huu wa kuchafua chama chake mwenyewe...
Gademnbradibastadifule!!!
Za mama Abdul hizo. Na alipewa nyingi. Lile fuko alilobaki nalo Wenje. Akamnyima dereva wake hata bunda moja....Muamala hauzidi milioni 5, ndio za kuendeshea CHADEMA?
Mbowe anatoa milioni 200 za mkutano mkuu, akose milioni 5 ?
Ndiyo keshasema tayari. Kama ni Siri sasa sio Siri tena.Anakipaka matope CCM au anampaka matope.Mbowe? Au wote wanapakana matope?
Tahira wewe.Kwani ruzuku ya serikali kwa vyama ni dhambi?
Uko sahihi mkuu. Mbowe sio mtunza hazina wa chama. Akilipwa zinaingia account yake binafsi.Tahira wewe.
Msukuma hajasema sms za muamala kwenda CHADEMA kasema sms za miamala kwenda kwa Mbowe.
Msukuma safari hii harudi bungeniMbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini ππ
Mwehu ni wewe ambaye hadi leo unamwamini Msukuma standard 7, anayeshindwa kudanganya hata wapiga kura wake std 4 na wale std 0. Hivi na Akili zako zote kbs za kuingia humu JF unamwamini chizi yule?Tahira wewe.
Muamala wa wapi?Muamala hauzidi milioni 5, ndio za kuendeshea CHADEMA?
Mbowe anatoa milioni 200 za mkutano mkuu, akose milioni 5 ?
Shahid ni aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mchungaji MsigwaMusukuma si ndie aliyemchomea Mkurugenzi mmoja kuwa alijinunulia gari la kifahari nje ya taratibu. Kumbe alikuwemo katika kikao kilichopendekeza ununuzi wa hilo gari. Aidha, taratibu zote zilifuatwa. Zilikuwa fitna tu. Sio mtu wa kumwamini.
Amandla...
Msukuma kasema muamala wa simu, au wewe ni zaidi ya msukuma?Muamala wa wapi?
Usikariri πΌπ
Unaelewa maana ya muamala wa Simu? πππMsukuma kasema muamala wa simu, au wewe ni zaidi ya msukuma?
Hata mimi ningekuwa mwenyekiti wa chama au raisi wa chama au mtu yoyote, nikipewa hela na majizi inayoibia wananchi siwezi kuiacha hiyo hela , na jua ni hela kiduchu inawarudia wananchi.Mbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini ππ