Musukuma atishia kuachilia meseji za Fedha alizotumiwa Mbowe kutoka CCM ili aendeshe chama, asema mchungaji Msigwa ni shahidi!

Musukuma atishia kuachilia meseji za Fedha alizotumiwa Mbowe kutoka CCM ili aendeshe chama, asema mchungaji Msigwa ni shahidi!

Hapo ndio tunawaambia mara zote umuhimu wa elimu... Angalia sasa garbages za huyu zero brain... Mnadhani angefika hata form four angeandika upuuzi huu wa kuchafua chama chake mwenyewe...

Gademnbradibastadifule!!!
Kukosa elimu ya darasan hakuondoi ukweli na uhalisia wa jambo husika..kasema ukweli na ushahidi anasema upo unataka nn wewe kama sio kutaka kukwepesha ma file
 
Mkiambiwa Mbowe hafai mnabisha. Kuendelea na Mbowe ni kuua chadema.
 
Mbombo ngafu

Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki

Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi

Mjadala Ukurasani X

Nyama mtazikuta chini 😂😂
Msukuma safari hii harudi bungeni
 
Je Mbowe atampeleka pia mahakamani kama alivyosema kwa Msigwa?
 
Musukuma si ndie aliyemchomea Mkurugenzi mmoja kuwa alijinunulia gari la kifahari nje ya taratibu. Kumbe alikuwemo katika kikao kilichopendekeza ununuzi wa hilo gari. Aidha, taratibu zote zilifuatwa. Zilikuwa fitna tu. Sio mtu wa kumwamini.

Amandla...
 
Shahid ni aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mchungaji Msigwa
 
Msukuma aziachie tu. CHADEMA chini ya Mbowe ni chama rafiki wa CCM kama ilivyo chama cha kikomunisti cha China na FRELIMO ya Msumbiji.
 
Wanasiasa Wasenge sana.

..........Wanawajaza vijana usenge wanapotezwa, wanabaki vilema ila huku wao wanapiga maisha.
 
Mbowe kayataka mwenyewe hanapakujificha. M7 wa bongo
 
Mbombo ngafu

Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki

Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi

Mjadala Ukurasani X

Nyama mtazikuta chini 😂😂
Hata mimi ningekuwa mwenyekiti wa chama au raisi wa chama au mtu yoyote, nikipewa hela na majizi inayoibia wananchi siwezi kuiacha hiyo hela , na jua ni hela kiduchu inawarudia wananchi.
 
Back
Top Bottom