Mbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini ππ
nimekumaliza....... uidhani umeandika substanceNi kama unaogopa hivi πππ₯
Anayemalizwa ni mwenyekiti wa Chadema mekunimekumaliza....... uidhani umeandika substance
Mbona chadema wanaisema ccm na serikali kwa ujumla. Tatzo liko wapi mkuu. Mbona unaleta mambo ya mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.Wewe unaona Mbowe, wenye akili wameona CCM. Mbunge wa CCM anaweza akaisema CHADEMA na viongozi wake kwa kupokea rushwa, ni jambo la kawaida. Lakini si jambo la kawaida mbunge huyo wa CCM kuisema CCM na viongozi wake kwa kutoa rushwa!
Anyway, kila mtu ana perception zake. Wewe umeshangaa mpokea rushwa, mimi nimeshangaa mtoa rushwa, ila wote wametajwa na chama cha mtoa rushwa!
Hiyo ni sawa na ni kawaida, soma vizuri. Nimesema si kawaida kwa mbunge wa CCM kuisema CCM na viongozi wake kwa kutoa rushwa!Mbona chadema wanaisema ccm na serikali kwa ujumla. Tatzo liko wapi mkuu. Mbona unaleta mambo ya mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
NDIYO MAANA ULITUPWA HUKO ULIKO.....Anayemalizwa ni mwenyekiti wa Chadema meku
Mimi Niko Chama Dola unaanzaje kunimaliza?
Mbwiga wahed πππππ
Kutoa rushwa pia ni kosa la kisheria na kimaadili. Mbunge wa CCM amesema chama dola kimetoa rushwa na ushahidi wa miamala anao!Anayemalizwa ni mwenyekiti wa Chadema meku
Mimi Niko Chama Dola unaanzaje kunimaliza?
Bwashee iko hivi:Mbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini ππ
Haahaa mbowe anadai lissu anataka kumpindua kwenye uwenyekiti kupitia diaspora.Haahaa mbowe kapanikiJana clubhouse pia kumechangamka kuna muamala mkuuubwa unetoka nyumba kubwa
Vipi msaidizi wa mwenye sacvos hujamno?NDIYO MAANA ULITUPWA HUKO ULIKO.....
Mmachame amesaliti juhudi za kuyasaka mabadiliko muda mrefu sanaKumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki