Musukuma atishia kuachilia meseji za Fedha alizotumiwa Mbowe kutoka CCM ili aendeshe chama, asema mchungaji Msigwa ni shahidi!

Musukuma atishia kuachilia meseji za Fedha alizotumiwa Mbowe kutoka CCM ili aendeshe chama, asema mchungaji Msigwa ni shahidi!

Mbombo ngafu

Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki

Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi

Mjadala Ukurasani X

Nyama mtazikuta chini 😂😂

Pesa atumiwe mbowe na mtu mwingine, halafu kasheku awe na jumbe za kutuma miamala.
😂
 
nimekumaliza....... uidhani umeandika substance
Anayemalizwa ni mwenyekiti wa Chadema meku

Mimi Niko Chama Dola unaanzaje kunimaliza?

Mbwiga wahed 😂😂😂😂😂
 
Hili la Mbowe kupokea mzigo kutoka "TAWALA" limesemwa muda mrefu. Nakumbuka Musukuma huyohuyo aliwahi kulisema kipindi kile Msigwq ametangaza kuhamia CCM na watu wakachukulia poa ila ukweli ndo huo, Mbowe ni pandikizi.
Kuna siku Jasusi Chahali aliwahi kuandika kuwa kuna kiongozi mkubwa sana wa CHADEMA ni mtumishi wa SSIT na alishangaa sana alipogundua hilo na kusema kuwa akimtaja hakuna atayeamini!!!! Leo ndo nimemjua huyo mtu.
 
Wewe unaona Mbowe, wenye akili wameona CCM. Mbunge wa CCM anaweza akaisema CHADEMA na viongozi wake kwa kupokea rushwa, ni jambo la kawaida. Lakini si jambo la kawaida mbunge huyo wa CCM kuisema CCM na viongozi wake kwa kutoa rushwa!

Anyway, kila mtu ana perception zake. Wewe umeshangaa mpokea rushwa, mimi nimeshangaa mtoa rushwa, ila wote wametajwa na chama cha mtoa rushwa!
Mbona chadema wanaisema ccm na serikali kwa ujumla. Tatzo liko wapi mkuu. Mbona unaleta mambo ya mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Mbona chadema wanaisema ccm na serikali kwa ujumla. Tatzo liko wapi mkuu. Mbona unaleta mambo ya mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Hiyo ni sawa na ni kawaida, soma vizuri. Nimesema si kawaida kwa mbunge wa CCM kuisema CCM na viongozi wake kwa kutoa rushwa!
 
Mbombo ngafu

Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki

Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi

Mjadala Ukurasani X

Nyama mtazikuta chini 😂😂
Bwashee iko hivi:
Wakati wa uchaguzi wa kanda ya Nyass.
Wote;
Mbowe
Lissu
Msigwa waliitwa Iringa kwa ASAS.
WALIPEWA MPUNGA MREFU LKN
1. Mnowe alibena akasepa
2. Msigwa alipewa akabeba
3. Lissu aligoma, ndipo akihitubia Iringa slisema kuwa pesa chafu za mama Abdul zinahaubu uchaguzi

Hii sio kuwapaka matope bali ukweli utawekwa wazi siku mojs
 
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Mmachame amesaliti juhudi za kuyasaka mabadiliko muda mrefu sana
 
Back
Top Bottom