Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

Jamani!! Hebu vitu vingine sio vya kuandika . Darasa la saba la kufeli anamjibu mtu mwenye masters ya sheria?? Watajibizana nini zaidi ya zero tu??

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama Lissu anaMSc ya sheria, basi hana utaifa ndani ya nafsi yake. Na siasa ya namna hii haitamfikisha mahala popote. Na atasahaulika mapema ktk historia ya nchi hii. Nilitegemea, kusikia kuwa kwa masuala ya ustawi wa nchi yetu tunakuwa pamoja
 
Jimbo lina wasomi wengi lakini akapewa darasa la saba ubunge, watu ni wajinga pamoja na wasomi wote jimboni. Simama nae kwa hoja umtoe, umeshindwa muache awakilishe watu. Angepata elimu (formal) angepaa kama Lumumba wa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati mbaya kwake kachelewa kuisafisha serekali isiyosafishika wakati serekali yenyewe imeshakiri ndege kuzuia.
 
Hii nchi huyu na bulembo ndio wasemaji. Kweli hii nchi ina mambo ya ovyo sana, Prof Kabudi, Dr mwakyembe, na Dr Tulia wamemshindwa Lissu leo anakuja hata shule hajui ni nini anamjibu Lissu. Kweli hii nchi ina vituko.
 
Msukuma unatuaibisha..wewe sio size ya kumjibu lisuu..maprof/madocta wamejaribu na wao chalii mapovu yamewatoka tuu..
Kaka wewe tulia na maswala ya mifugo..mambo ya mahakama na sheria waachie walionauwelewa nayo
Dereva wa kirikuu katika ubora wake.... Hakuna kibaya kama kumtegemea mwanadamu kiliko Mungu. Imani ni matarajio ya visivyo wezekana na bayana yasiyo onekana. Lissu makali hakuna anayeweza kumshinda yeye, ni alfa na omega poleni sana. Lissu ni mtu tuu na soon kushiney. The lost battle
 
Hawa ndo ccm na hayo ndo mawazo yao VP Yule mwanachama wa matawi kama mwenyekiti wa mkoa ndo anaongea ivyo
 
Msukuma unatuaibisha..wewe sio size ya kumjibu lisuu..maprof/madocta wamejaribu na wao chalii mapovu yamewatoka tuu..
Kaka wewe tulia na maswala ya mifugo..mambo ya mahakama na sheria waachie walionauwelewa nayo
Msukuma alikuwa anaongea na wakulima na wafugaji wenzie w.ajinga sorry sio w.apumbavu ambao ndio mtaji wa chama twawala so msidharau atafanikiwa kudangaya wengi maana wametengenezewa uzio mzito sana wa kuelimishwa na kupata habari kutoka kwenye reliable source kwa malengo maalum ya kuendelea kuwabeba watwawala
 
Std 7 huyoooooooooooooooooo! akili kama hizi ndizo zimetufikisha huku. dereva form 4 LAKINI mtunga sheria std 7 si hasara tupu hii, bado yule wa 'makao makuu' ni sheedah!
 
Hivi aliesema serekali iruhusu bangi nani???kama walijua kuna mwanasiasa anapewa percsnt hiyo kwanini wasiseme ndege imezuiliwa kisa mwanasiasa anaepokea 10%....akapimwe mkojo huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…