Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

Eti ukiingia kwenye mtandao utaiona, kwa hiyo haijazuiwa ahahahaha, alitegemea aione MAHAKAMANI IKIWA IMEFUNGWA PINGU, nullbook Msukuma, jamani pelekeni watoto shule, yaani mjinga mpaka basi,,,
 
hahahahahahahahah huyu mlevi jamaa sasa ndio wamemtuma asee kweli msomeshe tu mtoto hata kama hatopata kaz awe tu kasoma
 
Basi kama ni hivyo wasilipe Deni tuone kama ndege itakuja..
 
Kama hawa ndio sampuli ya wabunge tuliyonao, ama kweli tutaibiwa sana na kamwe hata twende wapi hatutakaa tushinde.

Huyu mtu sana sana akibahatika saaana alitakiwa labda awe mwenyekiti wa kitongongoji lkn kupewa ubunge inaonyesha hata huko Geita watu wake ni wa calibre gani.!
 
Pumbavuu huyu ,kuna pressure yenye nguvu zaidi ya uamuzi Wa mahakamaa !!??
 
Ngoma ya Lissu ikipigwa ufipa maccm yote ya yatacheza toka lumumba, kisiwandui mpaka Geita na chattle
 
Huyu kweli darasa la saba!! Yani anaongea kama yuko kwenye Zengo ya chagulaga. Kosa sio lake ila ni kigezo kilichowekwa cha kujua kusoma na kundika!:
 
Huyu. Bwana na LA saba ndio kosa lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndio msemaji mpya wa lumumba fc wanamtegemea kipindi hiki,yupoyupo tu hajui hata dunia inaenda wapi kazi kuropoka tu....kweli bangi ya geita kali kuliko ugoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu hawezi kusoma hata document moja inayohusu sakata husika alafu anaharisha!!
 
Msukuma hii issue iko juu ya uwezo wako........ itasambaratisha ubongo.
 
kwa nchi yetu sioni umuhimu ya hao unaowaita wasoma kwa maana wao ndio waliochangia kwa kiwango kikubwa nchi hii kua namatatizo sababu ya 10%
Jamani!! Hebu vitu vingine sio vya kuandika . Darasa la saba la kufeli anamjibu mtu mwenye masters ya sheria?? Watajibizana nini zaidi ya zero tu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Msukuma hajui hata kinachoendelea kihusu hiyo Ndege. Naona ameamua kubweka ili Baba Jesca amsikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…