johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kilichomsababisha yeye kumkimbia Lowassa kwa speed kaliiiiii baada ya kukatwa ndani ya CCM ndicho hicho hicho kinachofanya maprofesa kukosa msimamo kama yeye.Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph Kasheku aka Msukuma amesema maprofesa wa Tanzania wanafeli sana na hii inasikitisha ndio maana aliwaripua bungeni...
Ule wa mapapai ulikuwa ni nini bwashee?Msukuma ana ugomvi mkubwa sana na wasomi sijui kwanini.
Na anageuza habari! Hao maprofesa wakati wa JPM ni lini walifanya utafiti wakagundua Tanzania hakuna korona? Hakukuwa utafiti wowote isipokuwa kulikuwa na matamko kuwa Tanzania hakuna korona
Mjibu kwa hoja.Msukuma ana ugomvi mkubwa sana na wasomi sijui kwanini.
Na anageuza habari! Hao maprofesa wakati wa JPM ni lini walifanya utafiti wakagundua Tanzania hakuna korona? Hakukuwa utafiti wowote isipokuwa kulikuwa na matamko kuwa Tanzania hakuna korona
Acha uongo kwahyo yale mapapai ni ww uliyafanyia utafiti?Msukuma ana ugomvi mkubwa sana na wasomi sijui kwanini.
Na anageuza habari! Hao maprofesa wakati wa JPM ni lini walifanya utafiti wakagundua Tanzania hakuna korona? Hakukuwa utafiti wowote isipokuwa kulikuwa na matamko kuwa Tanzania hakuna korona
Hahahaaaa. Msukuma ni la 7 lakini anaongoza kwa kujenga hoja mwanana bungeni!Safi sana Musukuma wewe ni akili kubwa kuliko hao madaktari na maprofesa njaa. Wao akili waliyonayo ni kucheza na mindset za watawala ili waandelee kushibisha matumbo yao badala ya kuleta manufaa kwa Taifa.
Sasa walishamsoma mama wakaona hana uhakika juu uwepo au kutokuwepo kwa corona virus nchini ila kwa kuwa kaonesha kutokubaliana baliana na msimamo wa mtangulizi wake juu ya ugonjwa huu hadi kuamua kuwapa wataalam wafanye utafiti wa kisayansi, wao wakaona fursa na wakafanya kweli kama yule wa makinikia.
Yaani hawa hawa walioshindwa kuleta tu mitaala ya elimu inayolenga uhalisia wa mazingira yetu ndo waweze korona-sisi bado sana.
GO GO ON MUSUKUMA
Chanjo ya corona ni ufisadi tu. wakowapi wanaoumwa korona Tanzania? Kama korona inawafuta wavaa barakoa hao wa high profile ambao wakati Hayati yupo walikuwa hawavai na wala hawakufa, basi wachanjwe wao.Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph Kasheku aka Msukuma amesema maprofesa wa Tanzania wanafeli sana na hii inasikitisha ndio maana aliwaripua bungeni.
Msukuma amesema kwa mfano tafiti za Corona zilizofanywa na maprofesa wakati wa hayati Magufuli wakitumia mapapai mbuzi, sungura, mafenesi na oil ilionyesha Tanzania hakuna Corona lakini alipoingia Rais Samia maprofesa walewale wameshauri tuanze kuchomwa " masindano" na kuvaa mabarakoa.
Msukuma anajiuliza hawa maprofesa wetu wamesoma kweli?
Msukuma amemshauri Rais Samia kutumia wanasayansi wa nje kama anaona hawa wa kwetu wamejaa longo longo.
Source: Clouds Digital
Ule haukuwa utafiti kuwa Tanzania hakuna korona, isipokuwa ulikuwa utafiti kuwa korona hata kwenye mapapai inaonekana. (Labda mchato alitaka kuiaminisha dunia kuwa corona is a Hoax)Ule wa mapapai ulikuwa ni nini bwashee?
Msukuma anajiuliza hawa maprofesa wetu wamesoma kweli?
Msukuma amemshauri Rais Samia kutumia wanasayansi wa nje kama anaona hawa wa kwetu wamejaa longo longo.
Elewaga na wewe basiAcha uongo kwahyo yale mapapai ni ww uliyafanyia utafiti?
Nimekuelewa bwashee!Muda mwingine bora msomi aliyeishia darasa la saba kuliko hao Maprofesa wanaoendeshwa na matumbo yao!
(Kusoma sana sio kuwa na akili)