Musukuma: Maprofesa wanatuchanganya; wakati wa Magufuli walisema hakuna Corona na wakati huu wa Samia wanasema tuchanjwe

Kama hiyo ndo argument yake basi Msukuma ndo anajichanganya kwa sababu matakeo ya huo anaoita utafiti ni kwamba corona ilisambaa hadi kwa mbuzi, mapapai na mafenesi.

Sasa kama ugonjwa uligundulika hadi kwa wanyama na mimea na yeye mwenyewe alipiga nyungu kujitibia huo ugonjwa kwanini asichanjwe? Au anaogopa sindano?
 
Huyu msomi wa STD vii siyo pekee yake anayewashangaa wapo wengi tunawasibiri akina Dorothy, Kabudi, Ndugai, Tulia n.k. kwamba Hawa ni kweli walitumia usomi wao au ilikuwa ni Bora liende
 
Unamlaumu JPM kwa kifo cha dada yako ambaye
ni daktari! kwani alimuua? Mbona wewe hukufa?
 
Acha uongo kwahyo yale mapapai ni ww uliyafanyia utafiti?
Mkuu kile alichokifanya magufuli kwenye papai na mbuzi ndio UTAFITI hahahaha, Tanzania tunasafari ndefu sana, Elimu, Elimu, Elimu. mtawala katunyima elimu bora.
 
Unamlaumu JPM kwa kifo cha dada yako ambaye
ni daktari! kwani alimuua? Mbona wewe hukufa?
kiburi na jeuri ya raisi ndio kilichopelekea kifo cha mpendwa wake. lakini Mungu fundi amepiga pigo moja takatifu na sasa Tanzania ipo mikono salama.
 
🤣🤣🤣🤣 Huyu Jamaa bangi zake ni mbichi kabisa.
Ila anaongea kweli
 
Hivi msukuma huwa ana ugomvi gani usioisha na maprofessa?
 
Unamlaumu JPM kwa kifo cha dada yako ambaye
ni daktari! kwani alimuua? Mbona wewe hukufa?
Mimi mwenyewe namshangaa maana utafikiri JPM alimpandikiza hivyo vya corona huyo dada ake alimwambia asijikinge na corona.
 
Maelezo yako yoe haya, hayaiui hoja ya Musukuma. Unaona kuwa na maprofesa "ma Yes boss" ni sawa? wa nini sasa?
 
Kaka unatumia soda gani nikupe Samahani?
 
Maprofesa na elimi yao bado utakuwa under control ukiwa kwenye siasa
 
Hata china walipruv hiyo corona ipo kwenye vitasa, nguo, mabomba, na hasa viganja ndo sbb unanawa
Sawa lakini Mikono na vitasa huambukizwa na mtu aliyevishika akiwa na vimelea vya Corona mikononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…