Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

Kama ni kweli anapaswa aeleze pesa alizonazo alizipataje, akishindwa afilisiwe!.

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Wahalifu wote wana jiunga na chama cha ccm ... polisi ya Tanzania imejaa wapumbavu ...kuna majambazi 3 yalikuwa yanasumbua kigoma sasa hivi yapo ni polisi hapa dar es salaam .....yaani mfumo wa polisi ni mbovu ni rahisi muhalifu kuingia kwenye system ya nchi ...hata wakimbizi wengi wamekuwa wanasisiemu ......kinachotakiwa kwa serikali ni kutengeneza reseni ya siasa ambayo itawakagua wote wanaotaka kuingia kwenye siasa na watailipia sh mil10 hii itapunguza wahalifu na wanafiki wanao jificha kwenye siasa
 
Seriously, unatetea mwizi na kuhalalisha mate do yao!? Kweli Watanzania tuna safari ndefu. Kwa maana hiyo unabariki pia yeye kuwa kiongozi pamoja na rekodi mbaya kama hiyo!?
 
Amezungumzia pia jinsi walivyomuibia Muhindi na kumchomea duka Mombo, Tanga!?

JASILI HAACH ASILI. Hivi kweli huyu mtu kama kiongozi nategemea asitupige. Au mnaofikiri katosheka na huo wizi wake wa huko nyuma...!!?
 
Pesa na uongozi hufanywi kitu! RC wa dsm aliwahi kusema alimpiga kibaka risasi na mpaka leo hakuna aliyemgusa! Maisha ya kibaka hayana thamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…