Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

Ukweli ni kwamba, kwa taratibu zetu za kodi na urasimu wa kitaasisi katika kudhibiti shughuli za kiuchumi, mtu yeyote awe mtumishi wa uma au mfanyabiashara, aliyepata utajiri akiwa ndani ya nchi, atakuwa alifanya wizi, magendo na uhujumu uchumi.
Sasa, ule wizi na uhujumu ukapanda ngazi, ukavuka mipaka na kushirikisha wageni, ambapo wanaofaidi zaidi ni wageni katika upigaji huo kwa jina la mikataba ya uwekezaji.
Hata hivyo, kwa sababu ya nidhamu ya uoga inayozaa unafiki, maamuzi mengi ya kiserikali yanakosa ushauri mzuri kwa viongozi wakuu.
 
Halafu Chama kinamuangalia tu, mhujumu uchumi wa zamani akijisifia mtaani.

Kauli hizi zilitosha kabisa chama kumvua uanachama na kumyang'anya nyadhifa zoote.
 
Na mauwaji ya kamanda mawazo kukatwa shingo na shoka karibu kutenganisha mbona hajasema maana inasemekana yeye ndo king Maker.
 
Dah
CCM ni kichaka cha wahalifu
 
🔥🔥
 
Itabaki kama ushahidi maana kosa la uhujumu uchumi hua haifutiki mpaka pale litakapo hukumiwa
 
Aiseee siyo kila jambo ulilofanya kwenye maisha yako inatakiwa uliseme, sema yale yatakayowainspire wengine.......kumbe mali alizo nazo ni wizi.......daah aiseee
 
Labda machafuko ya tumbo kuhara hapo Sawa.
 
ccm sijui kama kuna mtu kanyooka chama kizima kimeoza ,Police wakakame wakaminye kende katafunguka vuzuri hizo fraud
 
Jinai haina ukomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…