PreGE2025 Musukuma: Wakati wa Mwamba hakuna aliyenyanyua mdomo, tusiingilie maamuzi ya mama

PreGE2025 Musukuma: Wakati wa Mwamba hakuna aliyenyanyua mdomo, tusiingilie maamuzi ya mama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
Hili ndilo tatizo la kuchagua machawa wajinga kuwa wabunge.

Two wrongs do not make a right.

Amesema Kenya vyombo vikifanya uchunguzi. Uchunguzi wa vyombo vya Tanzania uko wapi?
 
Peleka moto tu Dk.Gwajima hao machawa hawana hoja. Nijuavyo mm hoja ujibiwa kwa hoja TU.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Tatizo la nchi hii akiongea mwenye akili mmoja anajibiwa kitaahira na mataahira kibao huku mataahira mengine yakigonga meza.

Kwakuwa anayekingiwa kifua naye ni tabu Lele basi anaamini hao wajinga wengi ndio wapo sahihi na kujawa kiburi kinachomfanya aendelee na mambo yake yasiyofaa hadi mene mene tekeri na pelesi.
 
Bunge likishavunjwa kila Mbunge wa CCM ataishikilia hoja ya utejaji
 
Back
Top Bottom