PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Kwahiyo hapa wanamjibu GWAJIMA au?
Huyu ni kenge kabisa!Mpumbavu huyu
Hajapotezewa ndugu
Msukuma aache uongo au amejisahaulisha sio!! Sauti zilipazwa Tena Kwa sana na ushaidi wa video na sauti hupo ogopa teknolojia uwezi danganya, Uwezi zuia watu wasipaze sauti Kwa uovu uliopo midomo aukuwapa wewe.Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
Huyu anatuabisha sana sisi WasukumaMbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
Ni fedheha Msukuma kumpongeza shetani Magufuli kwa ushenzi aliofanya nchi hii! Aidha ni uwendawazimu kuwa chawa wa Samia kwa vitendo anavyowafanyia wapinzani wake wa kisiasa!Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
Sana yaani matatizo Bado ni Yaleyale matatu na limeongezeka MojaNchi yetu ujinga bado ni tatizo kubwa sana
Sawa lakini unaikumbuka vita ya makonda na gwajima et!!!! Isikilize Tena Ile clip hipo YouTube Ina lisaa limoja na madakika uone watu walivyopigwa umo ndani mpaka magu akaona amvute karibu ili kumnyamazisha.Gwajima alikuwa akimwambia Magufuli asisikilize kelele za Mbwa.
Hata kama nchi inauzwa...Yaani maana yake tusiingilie maamuzi ya mamlaka ya uteuzi kuhusu UTEKAJI na MAUAJI ?
Alisema Darasa la busisi kigongo litakapofunguliwa mahari yawe yanalipa ili kupitia pale..Huyu anatuabisha sana sisi Wasukuma