PreGE2025 Musukuma: Wakati wa Mwamba hakuna aliyenyanyua mdomo, tusiingilie maamuzi ya mama

PreGE2025 Musukuma: Wakati wa Mwamba hakuna aliyenyanyua mdomo, tusiingilie maamuzi ya mama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Msukuma is stupid person anapalilia ugali wake kwa kumkanyagia mwenzake. Gwaji boy spoke sensitive issue mambo yanayohuuu maisha ya watu, yeye anakuja kujibu vele kwa ujipendeeza wa muheshimiwa. SASA NI WAKATI BUNGE KUWEKA SHERIA YA KUPIGA MALUFUKU DARASA la saba
 
Hapa ndio utagundua kwa nini Mungu kamnyima huyu msukuma elimu,maana ana unafki uliovuka mipaka
 
Sawa lakini unaikumbuka vita ya makonda na gwajima et!!!! Isikilize Tena Ile clip hipo YouTube Ina lisaa limoja na madakika uone watu walivyopigwa umo ndani mpaka magu akaona amvute karibu ili kumnyamazisha.
Naikumbuka palikuwa hapapoi
 
Hawajamuelewa Gwajima

Hana shida na mama kuongoza muhula mwengine, wala CCM kuendelea na uongozi.

Outtake yake ni muda wa kutengeneza stability ya ‘civil services’ iliyo imara, yenye uwezo wa ku-administer (na kuilinda nchi), independent kwenye kazi yao. Faida yake ni long term sustainability and predictability ya mwenendo wa taifa.

Taifa aliwezi endeshwa hivi hata positive criticism kinachofuata ni mambo ya kuja kunyofoana kucha, mambo ambayo wengi tunayaona chanzo na chake ni wanasiasa kutumia madaraka yao vibaya.

Hoja za Gwajima sio against CCM au kutetea upande mwingine, ni uzalendo wake na future ya Tanzania.

Civil services ili wafanye majukumu yao kwa ufanisi lazima wawe stable. Sio kama ilivyo sasa kufumuliwa kirahisi kiongozi anaweza ivuruga kwa maslahi yake kutokana na madaraka ya kikatiba.

Hilo ni swala la msingi sana; tofauti ya huko nyuma hasa kwenye uongozi wa ‘Mzee Mwinyi, Mkapa na Jakaya’ hawa watu sio kwamba walikuwa hawajui nguvu za kikatiba walizonazo. Lakini kwakuwa ni wanasiasa wa kupikwa walikuwa tolerate na nguvu zao na kuacha independent ya vyombo including kushauriwa.

Kadri siku zinavyoenda tunatengeneza viongozi ambao wapo tayari kutumia nguvu zao za katiba, kwa maslahi yao bila uoga.

Kama nchi hatuwezi tena tegemea political leadership etiquette za (Mwinyi, Mkapa na JK) hawa wa leo wanatumia hiyo katiba kwa maslahi yao.

Hasa bi-tozo ame-abuse sana madaraka yake ya kikatiba; ni muda wa kuweka control measures.

Nina uhakika hata huko US baada ya awamu hii ya Trump watakuwa na wao washajifunza, kutegemea political etiquette sio salama nchi ikipita raisi wa hovyo kama Trump, lazima kuwe na control measures.

Trump ameonyesha civil services ya U.S ni hovyo, kama bi-tozo alivyofanya Tanzania (hawa wanafanana sana kitabia).

MaCCM hayajamuelewa Gwajima, yanajibu ujinga tu.
 
Nchi yenye watu makini wenye akili Msukuma hasingekua Bungeni na wabunge wengi sana hawatakiwi kua kwenye chombo kinachotunga sheria na kusimamia Serikali Msukuma ni mfanya biashara mkwapuaji wa mdini analinda utajiri wake kwa kuwaumiza wengine
 
Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
Uchawa tu tuliongea na wengi tu waliongea hata wakati wa Magufuli. Wakina Lissu hawajawahi kunyamaza!. Hata wakina Kinana waliongea!. Kama ni Mwamba yuko wapi leo? mnataka Mama naye afuate nyayo zake
 
Back
Top Bottom