Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
MobutuMwamba ndo nani?
Shule shule shule shule.Msukuma katoa hoja ya kijinga kabisa haijawahi kutokea. Kwa hiyo Watanzania milele na milele wasikemee vitendo vya Kiinterahamwe kwa sababu walikuwa kimya kipindi cha Mwamba?
Upumbavu mtupu.
Hili ndilo tatizo la kuchagua machawa wajinga kuwa wabunge.Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
Sese sekoMobutu
naaaamSese seko
Mobali nangainaaaam
chivunduuMobali nangai
Wapo sema hakumbukiMbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
Kwa 100,% anarudi..... NakuhakikishiaHuyu mjinga ikipatikana Tume HURU harudi Mjengoni.
Fasi ya mobutuchivunduu
Douh! huyu jamaa ni kichaa sanaMbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
Labda kuwe na viti maalumu vya Mazezeta na utindio wa ubongo.Kwa 100,% anarudi..... Nakuhakikishia
Umbwa kabisa, kwa hiyo kuteka na kuua ni maamuzi ya mama?Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
Ndiye huyo wa kututungia sheria na elimu ya Std 7 halafu sheria anazotunga zikawe applied na maprofesa vyuo vikuu na kwinginekoNchi ina wapumbavu wengi sana
Gwajima alikuwa akimwambia Magufuli asisikilize kelele za Mbwa.Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025