Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

Kwani bunge lina madaraka ya kubadiri katiba?Kazi ya bunge ni kutunga sheria.
Tupe undani wa mabadiriko hayo.
 
Magu anaogopa nini? Kwa nini anatunga sheria ya kumlinda baada ya kustaafu ilhali yeye ni rais mwema wa wanyonge?
Hapo ndipo mzalendo namba moja na rais wa wanyonge anaponishangaza. Mzalendo wa kweli angeweka sheria za kuwabana viongozi wanaotumia madaraka vibaya, mijizi na mafisadi, badala yake anaweka sheria za kuwalinda.
 
Kuna watu wanadhani ni CCM + VYAMA UPINZANI ila kuna jambo wanasahau kuwa wakimpandisha wataweza kumdhibiti?
 
This is insane, na Ndugai ameridhika kabisa kuona hili likitokea ndio maana yupo yupo tu, kusifia kila linalofanywa na serikali, hasara tupu.
 
Jamani, kwa hili nakuomba Mungu wangu kupitia Roho Mtakatifu uwatie wabunge wa CCM hekima, ujasiri,maono na udhubutu japo waweze kulisimamia hili tu lisipite !! !!?
 
Inamaana waliyomfanyia lisu ben Azory nk wasishitakiwe ? Aaah hapana haitakuwa sawa.
 
Naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Mh watumbuliwe? Kila mmoja anaangalia maslahi yake wote wamejawa na tamaa ya madaraka wanahisi kuwa wapole kutawapelekea kuwa wateule,hilo limepita bila kupingwa labda kwa nguvu ya umaa ndo njia pekee japo kichapo kitatembeaaa
 
Watanzania tukilikalia kimya hili tutakuwa wapumbavu wa hali ya juu sana.
 
Kwan NYIE chadema si mnasema mwaka huu mnachukua nchi mbona mna wasi was na izo Mambo mtarekebisha Wala msijali [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…