Muswada wa Rais, Spika, Waziri Mkuu kutoshitakiwa unapangiwa siku mbili Juni 5&6 tena kwa hati ya dharura

Muswada wa Rais, Spika, Waziri Mkuu kutoshitakiwa unapangiwa siku mbili Juni 5&6 tena kwa hati ya dharura

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,896
IMG_20200606_134058.jpg
 
Awamu hii wanajua iwe iwavyo lazma wakiondoka madarakani ama ni ccm au upinzani utakaochukua utawala ni lazima washtakiwe.

Dhamira zao zinawasuta kwa matendo waliotenda ndio maana wanatafuta cha kuwafunika.

Hasa hii kitu inaitwa spika imeifanyia vurugu kuu katiba ya nchi kwa hii awamu.
 
Ok ,Noted
Acheni hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,vSpika,vWaziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?

Je wewe binafsi ukiwapeleka hao mahakamani ni faida gani unapata ?au ni hasara gani unapata?

Tuache ushabiki wa kivyama,vSheria kama hizi hata siku moja hazikuongezei pesa mfukoni kwa wananchi wa huko nanjilinji au Singida

Je watanzania wangapi wanasoma hizo sheria kuhusu Rais kushtakiwa au kuachwa

Kila mtu apambane na hali yake,
 
Iyo sheria iko wapi mkuu weka apa ili tulijadili vizuri ili swala

Mimi ndio maana nasema wakati mwingine chengana na kina zakayo kisa ujinga huu
 
Ok ,Noted
Achane hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,Spika,Waziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?

Je wewe binafsi ukiwapeleka hao mahakamani ni faida gani unapata ?au ni hasara gani unapata?

Tuache ushabiki wa kivyama,Sheria kama hizi hata siku moja hazikuongezei pesa mfukoni kwa wananchi wa huko nanjilinji au Singida

Je watanzania wangapi wanasoma hizo sheria kuhusu Rais kushtakiwa au kuachwa

Kila mtu apambane na hali yake,
Halafu kwa akili kama zako bado unaitwa Baba wa familia eti.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok ,Noted
Achane hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,Spika,Waziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?

Je wewe binafsi ukiwapeleka hao mahakamani ni faida gani unapata ?au ni hasara gani unapata?

Tuache ushabiki wa kivyama,Sheria kama hizi hata siku moja hazikuongezei pesa mfukoni kwa wananchi wa huko nanjilinji au Singida

Je watanzania wangapi wanasoma hizo sheria kuhusu Rais kushtakiwa au kuachwa

Kila mtu apambane na hali yake,
Ulivyotiririka hapa unajiona unajua na una akili Sana.

Haya bwana goodluck
 
Kwa makusudi unavunja katiba, sheria, kanuni na taratibu zilizopo, halafu unakimbilia kujiwekea kinga ya kutokushtakiwa huko mbeleni ukitoka madarakani. Ni kwa sababu ya "fear of unknown, right!?"

Lakini kumbuka hata hizo kinga huweza kutolewa pale inapopasa, na hata ukashitakiwa wewe peke yako na kwa nafsi yako wala si kwa cheo chako.
 
Ok ,Noted
Achane hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,Spika,Waziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?...
Sasa wewe una tofauti gani na kiazi?

Hujui maamuzi ya Spika kama kiongozi wa bunge yanaathiri maisha yako?

Hujui maamuzi ya Rais kama kiongozi wa nchi yanaathiri maisha yako na familia yako?

Hujui maamuzi ya Waziri mkuu kama mtendaji mkuu wa serikali yanaweza kiathiri maisha yako?

Hujui maamuzi ya Jaji Mkuu yanaweza kuathiri maisha yako?

Wewe ni nani sasa kama siyo Kiazi?
 
Ok ,Noted
Achane hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,Spika,Waziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?

Je wewe binafsi ukiwapeleka hao mahakamani ni faida gani unapata ?au ni hasara gani unapata?..
Sawa Ndugai umesomeka. Bilioni 2 za matibabu India zimekufanya uwe mtumwa.
 
Awamu hii wanajua iwe iwavyo lazma wakiondoka madarakani ama ni ccm au upinzani utakaochukua utawala ni lazima washtakiwe.

Dhamira zao zinawasuta kwa matendo waliotenda ndio maana wanatafuta cha kuwafunika.

Hasa hii kitu inaitwa spika imeifanyia vurugu kuu katiba ya nchi kwa hii awamu.
Jamaa hawana uhakika wa kesho yao. Wanajihami. Wanajua kabisa ya kwamba kuna makosa mengi wameyafanya mengine yanavunja katiba sasa wanajiwekea kinga.

Kwani nani asiyejua kwamba kumrudisha bungene Mwambe aliyejivua ubunge ni kuvunja katiba? Nani asiyejua kuwakataza wapinzani kufanya shughuli za kisiasa ni kuvunja katiba?

Nani asiyejua kuwa kununua ndege bila bajeti yake kuidhinishwa na bunge ni makosa? Nani asiyejua kuwa kuhamia Dodoma hakukupitishwa na bunge?

Nani asiyejua kuwa fedha anazogawa Jiwe vichochoroni na barabarani hazijaidhinishwa na bunge? Nani asiyejua kuacha watu wapigwe risasi na kutekwa na kuwa kwenye viroba bila kufanya uchunguzi ni uhalifu? Kuna madudu mengi mno! Wanajihami hao.
 
Back
Top Bottom