Muswada wa Rais, Spika, Waziri Mkuu kutoshitakiwa unapangiwa siku mbili Juni 5&6 tena kwa hati ya dharura

Muswada wa Rais, Spika, Waziri Mkuu kutoshitakiwa unapangiwa siku mbili Juni 5&6 tena kwa hati ya dharura

Naomba kuuliza swali, kwani rais mwingine akiingia madarakani haiwezekani kutengua sheria zinazowekwa kulinda wahalifu?

Kama inawezekana kwanini tuna wasiwasi?
TUNA WASIWASI KWA SABABU MAMBO HAYO HUWA NI UTASHI WA MTU. NA MARA NYINGI KIONGOZI MPYA HUWALINDA WATANGULIZI WAKE HANA KAMA WALIKUWA MAADUI ZAKE. HUJIWEKEA AKIBA YA MBELENI. WANACHOFANYA VIONGOZI WENGI WAPYA NI KUANZISHA MAMBO HAYO MAPYA KULIKO KUHANGAIKA NA WALIOMTANGULIA.
 
Katiba 20 (1) viongozi wote watapata msmlaka yote kutoka kwa wananchi,hii ya Kusema biongozi hao wasishtakiwe mamlaka wameyapata wapi?
 
Back
Top Bottom