Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Hilo ni kweli lkn pia waombe waendelee kupata viongozi wenye tabia kama zao lkn akipatikana kiongozi wa wananchi basi hiyo sheria lazima itafanyiwa marekebisho maana siyo msahafuAwamu hii wanajua iwe iwavyo lazma wakiondoka madarakani ama ni ccm au upinzani utakaochukua utawala ni lazima washtakiwe.
Dhamira zao zinawasuta kwa matendo waliotenda ndio maana wanatafuta cha kuwafunika.
Hasa hii kitu inaitwa spika imeifanyia vurugu kuu katiba ya nchi kwa hii awamu.