Muswada wa Rais, Spika, Waziri Mkuu kutoshitakiwa unapangiwa siku mbili Juni 5&6 tena kwa hati ya dharura

Huu uchaguz ujao wanataka wavunje katiba kwa hali na mali... so wanajiwekea mazingira ya kinga
 
Ok ,Noted
Acheni hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,Spika,Waziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?

Je wewe binafsi ukiwapeleka hao mahakamani ni faida gani unapata ?au ni hasara gani unapata?

Tuache ushabiki wa kivyama,Sheria kama hizi hata siku moja hazikuongezei pesa mfukoni kwa wananchi wa huko nanjilinji au Singida

Je watanzania wangapi wanasoma hizo sheria kuhusu Rais kushtakiwa au kuachwa

Kila mtu apambane na hali yake,
binadamu ni kama kenge, huwa haamini mpaka damu imtoke, siku utakapotokewa na jambo kisa matumizi mabaya ya madaraka na kinga za viongozi ndio utakumbuka huu ukoko wa makande uliouandika leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha....watu wapo bize kujiwekea kinga, hizo kinga zinapigwa chini na unapanda kwa pilato kama wananchi wengine wanyonge.....
 
Kwa makusudi unavunja katiba, sheria, kanuni na taratibu zilizopo, halafu unakimbilia kujiwekea kinga ya kutokushtakiwa huko mbeleni ukitoka madarakani. Ni kwa sababu ya "fear of unknown, right!?" Lkn kumbuka hata hizo kinga huweza kutolewa pale inapopasa, na hata ukashitakiwa wewe peke yako na kwa nafsi yako wala si kwa cheo chako.
Kama kinachokupa kinga ni cheo cha rais, makamu wa rais, bwana chupika, au waziri mkuu, sijui jaji mkuu, ukishaondoka madarakani unategemea hizo kinga uzipate kwa nani......kama wanataka wanusurike kwenye hili waendelee kupandikiza watu wao tu, maana hakuna namna.....
 
Ok ,Noted
Acheni hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,Spika,Waziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?

Je wewe binafsi ukiwapeleka hao mahakamani ni faida gani unapata ?au ni hasara gani unapata?

Tuache ushabiki wa kivyama,Sheria kama hizi hata siku moja hazikuongezei pesa mfukoni kwa wananchi wa huko nanjilinji au Singida

Je watanzania wangapi wanasoma hizo sheria kuhusu Rais kushtakiwa au kuachwa

Kila mtu apambane na hali yake,
Na Kama wakishitakiwa,na wewe utafaidikaje?
 
Mbowe msafi anaogopa nnn
Wazalendo uchwara wanakimbilia kuomba kinga. Mbowe si mnamchunguza na ile taasiisi yenu uchwara! Au umesahau!? Naona kaburu wenu analazimisha kinga ya kutoshitakiwa. Mwambie kamsahau binamu yake anayeshika fuko la hela.
 
Ok ,Noted
Acheni hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,Spika,Waziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?

Je wewe binafsi ukiwapeleka hao mahakamani ni faida gani unapata ?au ni hasara gani unapata?

Tuache ushabiki wa kivyama,Sheria kama hizi hata siku moja hazikuongezei pesa mfukoni kwa wananchi wa huko nanjilinji au Singida

Je watanzania wangapi wanasoma hizo sheria kuhusu Rais kushtakiwa au kuachwa

Kila mtu apambane na hali yake,
Naona hapo unaamini umewaza vizuri kabisa , kifupi nadhani ujinga ndio tatizo kubwa linalo kusumbua na huelewi chochote ndio maana hujui chochote

Sasa kuto kujua kwako chochote sio sababu ya kudhani wote hawajui chochote na hawaelewi chochote
 
Ok ,Noted
Acheni hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,Spika,Waziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?

Je wewe binafsi ukiwapeleka hao mahakamani ni faida gani unapata ?au ni hasara gani unapata?

Tuache ushabiki wa kivyama,Sheria kama hizi hata siku moja hazikuongezei pesa mfukoni kwa wananchi wa huko nanjilinji au Singida

Je watanzania wangapi wanasoma hizo sheria kuhusu Rais kushtakiwa au kuachwa

Kila mtu apambane na hali yake,
Mzalendo gani anahofia kuhojiwa matendo yake ?!.
Ushabiki wa kipuuzi mnaufanya kwa kuendelea kuharibu katiba pamoja na mapungufu yake.
 
Naomba kuuliza swali, kwani rais mwingine akiingia madarakani haiwezekani kutengua sheria zinazowekwa kulinda wahalifu?

Kama inawezekana kwanini tuna wasiwasi?
Hivi unajua sheria wewe au unaropoka tu ?
 
Hahahaha....watu wapo bize kujiwekea kinga, hizo kinga zinapigwa chini na unapanda kwa pilato kama wananchi wengine wanyonge.....
Hizo Kinga huwa hazimlindi mhusika kuvuna alichopanda,hofu yao kuu ni malipizi siku mfumo ukiwatupa wataishije na Jamii waliyoiumiza?
 
Back
Top Bottom