Muswada wa Rais, Spika, Waziri Mkuu kutoshitakiwa unapangiwa siku mbili Juni 5&6 tena kwa hati ya dharura

Muswada wa Rais, Spika, Waziri Mkuu kutoshitakiwa unapangiwa siku mbili Juni 5&6 tena kwa hati ya dharura

Zitto kabwe ni Mwerevu aliye Mpumbavu.
 
Muswada huu unampa mamlaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mwandishi wa Sheria wa Serikali uwezo wa kuandika Sheria na Rais akisaini inatekelezwa bila haja ya Bunge. Yaani sasa Nchi itakwenda kwa DECREE! Kwenye yote yanayoendelea haya, kuna Sheria mbaya sana inatungwa leo.

Chanzo:Zitto on twitter
Tanzania yetu inapelekwa kichinjioni na hakuna anayeonekana kuitetea dhidi ya umauti unaoandaliwa na watawala dhalimu.Yaani Bunge linapokwa kisheria kazi yake ya kutunga sheria na hakuna wa kusema hapana?Wote jibu lao ni ndiyoo,wale wenye uthubutu wa kusema hapana ndiyo hao wanaovunjwa miguu,kupigwa risasi au kutekwa na kupotezwa.
Hatari ni kubwa kwa nchi hii kuangamizwa na tuliowaamini huku wakishangiliwa na kusifiwa uzalendo.
 
Muswada huu unampa mamlaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mwandishi wa Sheria wa Serikali uwezo wa kuandika Sheria na Rais akisaini inatekelezwa bila haja ya Bunge. Yaani sasa Nchi itakwenda kwa DECREE! Kwenye yote yanayoendelea haya, kuna Sheria mbaya sana inatungwa leo
 
Mkuu unaweza kutuletea habari iliyo kamilika? Hili swala haliwezi kuwa mistari mitatu then anataka members wajadili?
 
Muswada huu unampa mamlaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mwandishi wa Sheria wa Serikali uwezo wa kuandika Sheria na Rais akisaini inatekelezwa bila haja ya Bunge. Yaani sasa Nchi itakwenda kwa DECREE! Kwenye yote yanayoendelea haya, kuna Sheria mbaya sana inatungwa leo
muswada upi, weka taarifa kamili
 
Uwongo huu
Rais Magufuli yupo makini sana
Hahahahaaa..... Wewe jamaa Upo kama yule Waziri wa habari enzi ya Saddam Hussein.......

Una roho ngumu kweli..... Hivi unafanyaje mtu mpaka Unakua na roho ngumu Kama yako?
 
Back
Top Bottom