Muswada wa Rais, Spika, Waziri Mkuu kutoshitakiwa unapangiwa siku mbili Juni 5&6 tena kwa hati ya dharura

Muswada wa Rais, Spika, Waziri Mkuu kutoshitakiwa unapangiwa siku mbili Juni 5&6 tena kwa hati ya dharura

Kwani raisi alikuwa anashtakiwa ?.shule ulienda kusoma ujinga
Yes thus wanataka kuondoa kipengere hicho sababu kinawabana.Rais akivunja katiba aliyoapa kuilinda ni lzm ashatikiwe,sema huwa wanalindana tu.
 
Lipeni pesa ya wabunge kwanza ndio mje kulialia hapa
Ndio. Na hili kuna jaji alilisema. Kama angekuwa hashitakiwi usingeona huu mswaada wa sasa ukimtaja rais.
 
Yaan wee ni pimbi mnoo..kwnn hutaki kuumiza kichwa???kwnn wajiwekee sheria za kutokushitakiwa?? Nyie ccm mbona mnakuwa mapimbi kiasi hicho?? Kama ni watenda mema kwnn wanahofu ??? Hii awamu ni ya kishenzi sana ndo maana wanajihami
Tatizo shule ndogo inakusumbua
 
Awamu hii wanajua iwe iwavyo lazma wakiondoka madarakani ama ni ccm au upinzani utakaochukua utawala ni lazima washtakiwe.

Dhamira zao zinawasuta kwa matendo waliotenda ndio maana wanatafuta cha kuwafunika.

Hasa hii kitu inaitwa spika imeifanyia vurugu kuu katiba ya nchi kwa hii awamu.
Watz wasipofanya maamuzi magumu October hakuna tena nafasi ya kuyafanya tena ni mwendo wa mateso na kuumizwa zaidi ya walivoumizwa.Jiulize kwann Ikulu dodoma Hali ipo ya awali,pili vipi bashite akiwa ndie spika ajae tatu wawe na Kinga ya kutoshtakiwa unategemea huku tumetengwa na jumuia za kimataifa nn kitafata.Si wasiojulikana watamaliza watu, umasikini ukitamalaki huku idadi ya wakimbizi ikiongezeka.
Chondechonde dalili za mvua ni mawingu nafasi pekee ya kubadili upepo ni October.
Hata watumishi wanao nufaika Sasa vipi kesho wakianza kukopwa mishahara nn kinashindikana Kama wastaafu malipo yao tu ni tatizo vipi mishahara kuja kukopwa mbeleni huko?
 
Spika anaogopa nini kushtakiwa wakati nafasi yake ni ya kijamii zaidi?!!
Nashanga!
Huyu Ndugai ni mbunge tu kama Wabunge wengine na hawezi kuwa Spika bila ya huo Ubunge!
Tatizo la Ndugai kwa Sasa ni hofu ya kupelekwa kwa Pilato! Ile kesi ya KUMRUDISHA MWAMBE BUNGENI IMEWATIKISA vibaya sana!
Kinachofanyika sasa ni juhudi za kuzima kesi ya aina yoyote inayo tishia maamuzi yao ya kihuni.

Kwa ushauri wangu naomba WATANZANIA wakatae kabisa hizi sheria za kijinga kutaka baadhi ya Viongozi hapa Tanzania kujifanya miungu Watu.
 
Kila jambo lina mwanzo na mwisho vyovyote itakavyokuwa (Dawaamul haal minal muhaal)halafu utackia kuwen wazalendo huku mazumbukuku yakishangilia
 
Ok ,Noted
Acheni hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,Spika,Waziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?

Je wewe binafsi ukiwapeleka hao mahakamani ni faida gani unapata ?au ni hasara gani unapata?

Tuache ushabiki wa kivyama,Sheria kama hizi hata siku moja hazikuongezei pesa mfukoni kwa wananchi wa huko nanjilinji au Singida

Je watanzania wangapi wanasoma hizo sheria kuhusu Rais kushtakiwa au kuachwa

Kila mtu apambane na hali yake,
Nawe unajiona umetoa bonge la point kumbe ujuha mtupu yaan unasema hao watu hawana athari ktk maisha ya mtu wakat ndio watunga sera zinazoathiri maisha ya kila mtu.Yaan wew ni bonge la poyoyo libinafsi na juha
 
Ungezea na uzumbukuku hajitambui kabsa
Nawe unajiona umetoa bonge la point kumbe ujuha mtupu yaan unasema hao watu hawana athari ktk maisha ya mtu wakat ndio watunga sera zinazoathiri maisha ya kila mtu.Yaan wew ni bonge la poyoyo libinafsi na juha
 
Mayalla hebu ukuje huku kuna watu wanataka tuwaabudie maisha yao yote
 
Ok ,Noted
Acheni hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,Spika,Waziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?

Je wewe binafsi ukiwapeleka hao mahakamani ni faida gani unapata ?au ni hasara gani unapata?

Tuache ushabiki wa kivyama,Sheria kama hizi hata siku moja hazikuongezei pesa mfukoni kwa wananchi wa huko nanjilinji au Singida

Je watanzania wangapi wanasoma hizo sheria kuhusu Rais kushtakiwa au kuachwa

Kila mtu apambane na hali yake,
Tanzania ni yetu sote hakuna mwenye haki miliki kama siyo uoga wa uharifu na mambo ya hovyo hofu ni ya nini?
 
Ok ,Noted
Acheni hofu ambazo hazina msingi kabisa

Maisha ya Rais,Spika,Waziri mkuu au Jaji mkuu wewe yanaathiri vipi maisha ya kwako binafsi au ya familia yako?

Je wewe binafsi ukiwapeleka hao mahakamani ni faida gani unapata ?au ni hasara gani unapata?

Tuache ushabiki wa kivyama,Sheria kama hizi hata siku moja hazikuongezei pesa mfukoni kwa wananchi wa huko nanjilinji au Singida

Je watanzania wangapi wanasoma hizo sheria kuhusu Rais kushtakiwa au kuachwa

Kila mtu apambane na hali yake,
Ivi wakitangazwa watoke barabarani watu wenye akili na ww Unaweza toka kwel
 
Back
Top Bottom