Deus Jovin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2013
- 250
- 201
Naunga hoja mkono, lazima tutenge mambo ya dini na serikali katika nchi.
View attachment 3683498
Mpendwa Msomaji,
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, ametangaza mpango wa kujenga msikiti mkubwa jijini Arusha ambao utatumika kwa ibada na kuwa kivutio cha utalii.
• Gharama: Makadirio ya awali ya ujenzi yanatajwa kuwa kati ya dola za Marekani milioni 80 hadi 100 (zaidi ya Shilingi za Kitanzania bilioni 210).
• Eneo: Eneo la ujenzi tayari limeshapatikana kupitia viongozi wa dini.
• Lengo: Kujenga msikiti wa kisasa utakaowezesha wageni na waumini kutalii na kujifunza historia na utamaduni wa Arusha mbali na kuswali pekee.
• Hali ya Sasa: Paul Makonda bado anaendelea na jitihada za kutafuta wadau na wafadhili kwa ajili ya kugharamia mradi huo mkubwa
Ni maoni yangu kwamba, sera hii inapingana na Katiba ya Nchi yetu, hasa ibara ya 3(1) inayosema kuwa Tanzania ni nchi isyo na dini ya kiserikali.
Tamko la Makonda halina tofauti na lile Tamko la hayati Rais Mwinyi lililofuta sera ya kitaifa kuhusu sare ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.
Tamko hili liliiondolea sekta ya elimu jukumu lake la msingi la kujenga tawasifu ya kitaifa (national identity) vichwani mwa wanafunzi wanaoendelea kukua.
Hivyo, nimeamua kuwasilisha kwako Muswada wa Sheria ya Ushirikiano na Utengano Kati ya Dini na Serikali ya Mwaka 2026.
Ni kwa ajili ya kuchochea mjada mpana utakaohitimishwa kwa kutunga sheria mahsusi kwa ajili hii.
Sheria hii inayopendekezwa inaweka mfumo wazi na wenye usawa wa kusimamia uhusiano kati ya taasisi za dini na serikali.
Inafafanua mipaka muhimu ili kulinda misingi ya kikatiba ya utengano, huku ikitengeneza njia za kisheria za ushirikiano wenye tija katika masuala ya kijamii, elimu, na misaada ya kibinadamu.
Malengo makuu ya muswada huu ni:
1. Kulinda uhuru wa kuabudu na kuhakikisha serikali haifungamani na upande wowote wa kidini.
2. Kuweka mipaka ya wazi ili kuzuia serikali kuingilia mambo ya dini na kinyume chake.
3. Kuunda mifumo rasmi ya ushirikiano wa uwazi katika miradi ya maendeleo na ustawi wa jamii.
Pamoja na barua hii, nambatanisha:
1. Nakala kamili ya muswada huu pamoja.
2. Muhtasari wa Muswada huu kwa ufafanuzi (dokezo).
Nitafurahi kupata fursa ya kujadiliana nawe kuhusu pendekezo hili kupitia jukwa hili au vinginevyo.
Ahsante kwa muda wako,
Wako mwaminifu,
Raia Mwema.
vipi kuhusu dua pale bungeni, mtizamo upo vipi
Ile Bungeni si inaitwa Dua jamaniDah!
Hiyo nimesahau tu.
Inabidi iongezwe.
Hata dua kwenye mikutano ya siasa za kitaifa haifai.
Maboresho yanahitajika.
Big up!
dua inamuomba Mwenyezi Mungu, mpagani ana ushirika gani hapo?Ile Bungeni si inaitwa Dua jamani
Au umesahau spika huwa anaanzaje kuitaja
Dua ya kuombea taifa letu na bunge.
By the way ile dua ni natural (mkirsito, muislam na mpagani pia anaitamka.
Hizo ni deal za watu kuwa mpole, Waislamu wanafanywa cover tu hapo.Hii nchi viongozi waache kuongoza kwa hisia kuliko utimamu
Sio wapagani wote hawaamini uwepo wa Mungu.dua inamuomba Mwenyezi Mungu, mpagani ana ushirika gani hapo?
Kasome wapagani na tafsiri zaodua inamuomba Mwenyezi Mungu, mpagani ana ushirika gani hapo?
Arusha inabahati sana kupata Mbunge, sio tuu mwenye upako wa Mungu., bali pia ni Mkristo, mlokole, mwenye upendo na Waislamu wa Arusha, alipokuwa RC, akajulishwa kuwa sheikh wa mkoa hana gari, alimpatia gari jipya la maana. Sasa anawajengea Msikiti wa hadhi ya Arusha.Mpendwa Msomaji,
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, ametangaza mpango wa kujenga msikiti mkubwa jijini Arusha ambao utatumika kwa ibada na kuwa kivutio cha utalii.
• Lengo: Kujenga msikiti wa kisasa utakaowezesha wageni na waumini kutalii na kujifunza historia na utamaduni wa Arusha mbali na kuswali pekee.
Ni maoni yangu kwamba, sera hii inapingana na Katiba ya Nchi yetu, hasa ibara ya 3(1) inayosema kuwa Tanzania ni nchi isyo na dini ya kiserikali.
Raia Mwema.
usitake kutorokea kwenye mlango wa semantics,Sio wapagani wote hawaamini uwepo wa Mungu.
Kasome aina za upagani halafu pia ukatofautishe kutokuamini Mungu na Upagani
Upagani ni dini ambayo ndani yake kuna madhehebu yao na imani na desturi zao kama walivyo wakristo na waislam.
Kasome aina za upigani zipo kama hivi.
Kasome wapagani na tafsiri zao
Polytheism
Pantheism
Duetheism
Henotheism
Wapagani wanatawaliwa na nguvu ya asili, hawaamini kitabu (Quran au Biblia).
Hivi bila watu Kuna serikali?Dah!
Hiyo nimesahau tu.
Inabidi iongezwe.
Hata dua kwenye mikutano ya siasa za kitaifa haifai.
Maboresho yanahitajika.
Big up!
View attachment 3683498
Mpendwa Msomaji,
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, ametangaza mpango wa kujenga msikiti mkubwa jijini Arusha ambao utatumika kwa ibada na kuwa kivutio cha utalii.
• Gharama: Makadirio ya awali ya ujenzi yanatajwa kuwa kati ya dola za Marekani milioni 80 hadi 100 (zaidi ya Shilingi za Kitanzania bilioni 210).
• Eneo: Eneo la ujenzi tayari limeshapatikana kupitia viongozi wa dini.
• Lengo: Kujenga msikiti wa kisasa utakaowezesha wageni na waumini kutalii na kujifunza historia na utamaduni wa Arusha mbali na kuswali pekee.
• Hali ya Sasa: Paul Makonda bado anaendelea na jitihada za kutafuta wadau na wafadhili kwa ajili ya kugharamia mradi huo mkubwa
Ni maoni yangu kwamba, sera hii inapingana na Katiba ya Nchi yetu, hasa ibara ya 3(1) inayosema kuwa Tanzania ni nchi isyo na dini ya kiserikali.
Tamko la Makonda halina tofauti na lile Tamko la hayati Rais Mwinyi lililofuta sera ya kitaifa kuhusu sare ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.
Tamko hili liliiondolea sekta ya elimu jukumu lake la msingi la kujenga tawasifu ya kitaifa (national identity) vichwani mwa wanafunzi wanaoendelea kukua.
Hivyo, nimeamua kuwasilisha kwako Muswada wa Sheria ya Ushirikiano na Utengano Kati ya Dini na Serikali ya Mwaka 2026.
Ni kwa ajili ya kuchochea mjada mpana utakaohitimishwa kwa kutunga sheria mahsusi kwa ajili hii.
Sheria hii inayopendekezwa inaweka mfumo wazi na wenye usawa wa kusimamia uhusiano kati ya taasisi za dini na serikali.
Inafafanua mipaka muhimu ili kulinda misingi ya kikatiba ya utengano, huku ikitengeneza njia za kisheria za ushirikiano wenye tija katika masuala ya kijamii, elimu, na misaada ya kibinadamu.
Malengo makuu ya muswada huu ni:
1. Kulinda uhuru wa kuabudu na kuhakikisha serikali haifungamani na upande wowote wa kidini.
2. Kuweka mipaka ya wazi ili kuzuia serikali kuingilia mambo ya dini na kinyume chake.
3. Kuunda mifumo rasmi ya ushirikiano wa uwazi katika miradi ya maendeleo na ustawi wa jamii.
Pamoja na barua hii, nambatanisha:
1. Nakala kamili ya muswada huu pamoja.
2. Muhtasari wa Muswada huu kwa ufafanuzi (dokezo).
Nitafurahi kupata fursa ya kujadiliana nawe kuhusu pendekezo hili kupitia jukwa hili au vinginevyo.
Ahsante kwa muda wako,
Wako mwaminifu,
Raia Mwema.
Mhe Mbunge ili usilete mjadala kuhusu wema wako kwa waislamu itakuwa jambo jema uachie ubunge na ujikite kwenye kujenga misikiti ya kitalii.View attachment 3683498

Hakuna udini hapo kwa kuwa mhe Makonda ni Kafir anajitolea kutumia Ubunge wake ili amshukuru mama na kumpendekezea 10 tena kwani anatosha.Ujenzi wa Msikitini yeye kaja na nia wazo tu pesa ya Ujenzi sio ya Serikali
Kuna mgongano gani apo kati Serikali na Dini usika
Kwani Viongozi wa mbona tunawaona wakishiriki kwenye Ujenzi wa Misikitini na Makanisa mbali mbali
Mtoa Mada Chuki ya Kidini ndio
inamsumbua
Msikitini wa kitalii kwa faida ya Taifa zima
jiandae kuchangia ili Arusha ipendeze!!
Naunga mkono wazo zuri na Waziri wetu mhe Paul Makonda
Uchawa tu,Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, ametangaza mpango wa kujenga msikiti mkubwa jijini Arusha