CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Naaunga mkono Hoja.
Ile dua haina mrengo wa kidinivipi kuhusu dua pale bungeni, mtizamo upo vipi
Sema ukweli wa moyo wako Mwanahabari mwandamizi. Huu ndo ukweli wenyewe au kinyume chake.Arusha inabahati kupata Mbunge mwenye upako wa Mungu.
Maendeleo ya Arusha jiji, yatapaa.
P
lingekua na maneno gani ili tuseme lina mrengo wa kidini?Ile dua haina mrengo wa kidini
Huyo tapeli alikusanya vijana huko Arusha alipokuwa mkuu wa mkoa kuwa anawapeleka India masomoni. Hadi leo hajapeleka hata mmoja, ni utapeli mtupu. Wakati akiwa mkuu wa mkoa hapa Dar enzi za Magufuli waliahidi kujenga msikiti kwa 5b, je msikiti ule ulimalizika? Huenda ww unajua maana ni mwanahabari. Hapo ndio nitajua huo wa 21b ni uongo wa mchana kweupe ama la.Arusha inabahati kupata Mbunge mwenye upako wa Mungu.
Maendeleo ya Arusha jiji, yatapaa.
P
Arusha inabahati kupata Mbunge mwenye upako wa Mungu.
Maendeleo ya Arusha jiji, yatapaa.
P
Embu tuchambulie kitaalamu mzee wetu Msikiti wa bilion 200 unapaishashe maendeleo?Arusha inabahati sana kupata Mbunge, sio tuu mwenye upako wa Mungu., bali pia ni Mkristo, mlokole, mwenye upendo na Waislamu wa Arusha, alipokuwa RC, akajulishwa kuwa sheikh wa mkoa hana gari, alimpatia gari jipya la maana. Sasa anawajengea Msikiti wa hadhi ya Arusha.
Maendeleo ya Arusha jiji, yatapaa.
P
Inaongeza kipi cha maana kwenye taifa hili.Ile Bungeni si inaitwa Dua jamani
Au umesahau spika huwa anaanzaje kuitaja
Dua ya kuombea taifa letu na bunge.
By the way ile dua ni natural (mkirsito, muislam na mpagani pia anaitamka.
Hakuna tatizo kwa anayeyataka kwa nafsi yake mwenyewe, lakini isiwe kwa kuhusisha watu wengine wasiohusika.Watu hawahitaji makanisa na misikiti karne hii....
Ukifanya Sampling Arusha kati ya watu 100, nina uhakika watu 98 hawataomba kujengewa msikiti ili kukidhi mahitaji yao ya kila siku....Hakuna tatizo kwa anayeyataka kwa nafsi yake mwenyewe, lakini isiwe kwa kuhusisha watu wengine wasiohusika.
Haya ni maswala ya kibinafsi, yabaki huko huko kwa ukibinafsi.
Utavutia sana watalii, kama Taj Mahal, Learning Tower of Pisa, Hanging Gardens of Babylon, pyramids of Egypt etcEmbu tuchambulie kitaalamu mzee wetu Msikiti wa bilion 200 unapaishashe maendeleo?
Hili la "kujengewa" nyumba ya ibada pekee ni la kipuuzi kabisa lisilohitaji hata kujadiliwa humu.Ukifanya Sampling Arusha kati ya watu 100, nina uhakika watu 98 hawataomba kujengewa msikiti ili kukidhi mahitaji yao ya kila siku....
Nimekuelewa kuyaweka mawazo yangu kibinafsi ila kwa uhalisia wa ground kulivyo, Msimamo ni huo huo...
Sahihi mkuu.. Kila kitu kwao ni fursaHili la "kujengewa" nyumba ya ibada pekee ni la kipuuzi kabisa lisilohitaji hata kujadiliwa humu.
Hawa watu wasiokuwa na akili vichwani kama huyu Bashite ndio wanaozua matatizo ndani ya taifa hili'
Hawa ndio siku moja watatakiwa wawajibishwe kwa kulisababishia taifa hili matatizo ya kipuuzi kama tunayoyaona leo hii.
Chawa wa makonda sijawai ona ukimponda Bashite , kila anachofanya wewe kwako kizuri nikumsifia tu hujawai mkosoa .Arusha inabahati sana kupata Mbunge, sio tuu mwenye upako wa Mungu., bali pia ni Mkristo, mlokole, mwenye upendo na Waislamu wa Arusha, alipokuwa RC, akajulishwa kuwa sheikh wa mkoa hana gari, alimpatia gari jipya la maana. Sasa anawajengea Msikiti wa hadhi ya Arusha.
Maendeleo ya Arusha jiji, yatapaa.
P
Taj mahal imejegwa huko 1630s kweusi, Tower of Pisa miaka 200 iliyopita hanging Garden of Babylon kipindi cha kina Nebukadneza hizo mbili technically ni historical site … Huu msikiti wetu utamvutia nani na kwa lipi kama sio White elephant projectUtavutia sana watalii, kama Taj Mahal, Learn Tower of Pisa, Hanging Gardens of Babylon, pyramids of Egypt etc
P
Utavutia sana watalii, kama Taj Mahal, Learning Tower of Pisa, Hanging Gardens of Babylon, pyramids of Egypt etc
P
Wewe Pasco najua unachekea chooni, halafu unaleta sura ya ukauzu humuUtavutia sana watalii, kama Taj Mahal, Learning Tower of Pisa, Hanging Gardens of Babylon, pyramids of Egypt etc
P