Mutta Rwakatare avuliwe Udiwani

Mutta Rwakatare avuliwe Udiwani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tatizo kubwa sana la CCM ni kuwapa vyeo watoto wa viongozi kama bakhshish , ili kuendeleza na kulinda hujuma walizofanya Wazazi wao za kuitafuna Nchi .

Huyu Diwani wa Kawe anayeitwa Mutta ambaye ni mtoto wa Mfadhili wa CCM Marehemu Getrude Lwakatare , hana kipawa cha uongozi , amelazimishwa tu kuwa Diwani na kupachikwa kwenye Uchungaji wakati ni Muhuni na Msela , mpenda Pombe za kupitiliza na Mla Bata na Mpenda Makahaba asiyejificha ( Walaaniwe wote waliomsimika kuwa Mchungaji wa kanisa).

Baada ya kupotelea kwa Ashura Mzaramo, kule Tabata na kukombolewa na jamii, imearifiwa leo kwamba Kapotea tena, Taarifa zinaonyesha kwamba Juhudi za kumtafuta hazjiazaa matunda, safari hii usishangae ukiambiwa Kakutwa kwa TATU KIPINI wa Buza kwa Lulenge , hivi ni kiongozi gani wa aina hii anayeachwa tu madarakani?

Yusuph Manji alivuliwa udiwani wa Mbagala Kuu kwa sababu za kipuuzi tu, Kwanini huyu Mlevi anayedhalilisha familia yake anaachwa tu , Nani anamlinda na kwa maslahi yapi ? kwanini asiachwe na mapombe yake ya hela za urithi na michepuko?
 
mpenda Pombe za kupitiliza na Mla Bata na Mpenda Makahaba asiyejificha
Hii Ni asili ya binadamu ama ubongo kutafuta pleasure Wala usimlaumu laumu nature ilichotupa.yaani we're hard wired to avoid both physical and mental/emotions pains by any means and seek pleasure kwa cost yoyote so unapokuwa huwezi cost ya ku afodi pleasure unabakia kutukana tu ama kujaribu kuikataa ama kuitungia jina baya ili uwe comfortable Mana pia our brain haipendi ukweli unaoumiza ipo radhi itunge uonge ili ifaridhike Mara matajiri hawataenda mbinguni,Mara wanatoa kafara, Mara loves of money is source of evils,na maandiko pia yanawasapoti kuwa tajiri haendi mbinguni Bora sijui ngamia apite sijui tundu gani.

Wewe wenye dini zenyewe wanasaka pesa ama utajiri waweze enda hata nje vacation.wanatumia human mind ignorance and emotions to capitalize their living lavishly.

Akili kumkichwa Kuna sadaka ya kujimaliza urudi home mtupu gari achia mchungaji.
Mungu sio masikini hata siku moja
 
Jamani emotions intelligence Ni ya muhimu kwa jamii yetu

Things that schools don't teach: . Emotional behaviour . Financial management . Relationship building . Developing the passion . Handling failures . Forgiveness . Generosity . Altruism . Persistence . Mental health.

Hizi ndio maisha yetu ingawa school hawazitilii maanani tunajifunza umri umeshaenda
 
Tatizo kubwa sana la CCM ni kuwapa vyeo watoto wa viongozi kama bakhshish , ili kuendeleza na kulinda hujuma walizofanya Wazazi wao za kuitafuna Nchi .

Huyu Diwani wa Kawe anayeitwa Mutta ambaye ni mtoto wa Mfadhili wa CCM Marehemu Getrude Lwakatare , hana kipawa cha uongozi , amelazimishwa tu kuwa Diwani na kupachikwa kwenye Uchungaji wakati ni Muhuni na Msela , mpenda Pombe za kupitiliza na Mla Bata na Mpenda Makahaba asiyejificha ( Walaaniwe wote waliomsimika kuwa Mchungaji wa kanisa ).

Baada ya kupotelea kwa Ashura Mzaramo, kule Tabata na kukombolewa na jamii, imearifiwa leo kwamba Kapotea tena, Taarifa zinaonyesha kwamba Juhudi za kumtafuta hazjiazaa matunda, safari hii usishangae ukiambiwa Kakutwa kwa TATU KIPINI wa Buza kwa Lulenge , hivi ni kiongozi gani wa aina hii anayeachwa tu madarakani ?

Yusuph Manji alivuliwa udiwani wa Mbagala Kuu kwa sababu za kipuuzi tu , Kwanini huyu Mlevi anayedhalilisha familia yake anaachwa tu , Nani anamlinda na kwa maslahi yapi ? kwanini asiachwe na mapombe yake ya hela za urithi na michepuko ?
Naunga mkono hoja.
Kiongozi lazima kuishi kama mfano mwema kwa jamii.
Huyu mvuta unga hapana.
 
Siku niliyogundua huyo jamaa Kichwan ni chenga alileta masifa hadi kwenye msiba wa mama yake.

Eti "mimi naitwa mheshimiwa Rutta, ni mtoto wa mheshimiwa marehem Getrude Lwakatare, mheshimiwa mama yangu tutamkumbuka sana, naweza kusema kifo Cha mheshimiwa mama yangu kimekuja ghafla, kabla ya kifo nilimuuliza Muheshimiwa mama nini kinakusumbua sana? Muheshimiwa mama akaniambia Muheshimiwa Mwanangu Niko sawa Wala usijali, lakin bahati mbaya ndo hivyo Mungu kamchukua Muheshimiwa mama yangu"
 
Hapo kwenye uongozi wa kindugu watu wakianza kuchimba CHADEMA watu watakuja na MATUSI BADALA YA HOJA.

ITOSHE KUSEMA DIWANI HAFAI NA AONDOLEWE AENDELEE NA UZINZI WAKE.

Ila asije IBUKIA kwenye viroba.
 
Siku niliyogundua huyo jamaa Kichwan ni chenga alileta masifa hadi kwenye msiba wa mama yake.

Eti "mimi naitwa mheshimiwa Rutta, ni mtoto wa mheshimiwa marehem Getrude Lwakatare, mheshimiwa mama yangu tutamkumbuka sana, naweza kusema kifo Cha mheshimiwa mama yangu kimekuja ghafla, kabla ya kifo nilimuuliza Muheshimiwa mama nini kinakusumbua sana? Muheshimiwa mama akaniambia Muheshimiwa Mwanangu Niko sawa Wala usijali, lakin bahati mbaya ndo hivyo Mungu kamchukua Muheshimiwa mama yangu"
Wewe kwani unamuona yuko sawa yule ....muta Ana matatizo muda tu nashanga viongozi wake hawajui/wanajifanya hawajui

Ova
 
Siku niliyogundua huyo jamaa Kichwan ni chenga alileta masifa hadi kwenye msiba wa mama yake.

Eti "mimi naitwa mheshimiwa Rutta, ni mtoto wa mheshimiwa marehem Getrude Lwakatare, mheshimiwa mama yangu tutamkumbuka sana, naweza kusema kifo Cha mheshimiwa mama yangu kimekuja ghafla, kabla ya kifo nilimuuliza Muheshimiwa mama nini kinakusumbua sana? Muheshimiwa mama akaniambia Muheshimiwa Mwanangu Niko sawa Wala usijali, lakin bahati mbaya ndo hivyo Mungu kamchukua Muheshimiwa mama yangu"
hiyo ndo hulka ya wahaya,sifa,majigambo nk ni sehemu ya desturi yao hata kama hama kitu hulka hizo ziko pale pale.nsomile.
 
Siku niliyogundua huyo jamaa Kichwan ni chenga alileta masifa hadi kwenye msiba wa mama yake.

Eti "mimi naitwa mheshimiwa Rutta, ni mtoto wa mheshimiwa marehem Getrude Lwakatare, mheshimiwa mama yangu tutamkumbuka sana, naweza kusema kifo Cha mheshimiwa mama yangu kimekuja ghafla, kabla ya kifo nilimuuliza Muheshimiwa mama nini kinakusumbua sana? Muheshimiwa mama akaniambia Muheshimiwa Mwanangu Niko sawa Wala usijali, lakin bahati mbaya ndo hivyo Mungu kamchukua Muheshimiwa mama yangu"
Umesahau mheshimiwa diwani wa mchongo ni Mhaya.
 
Jamani emotions intelligence Ni ya muhimu kwa jamii yetu

Things that schools don't teach: . Emotional behaviour . Financial management . Relationship building . Developing the passion . Handling failures . Forgiveness . Generosity . Altruism . Persistence . Mental health.

Hizi ndio maisha yetu ingawa school hawazitilii maanani tunajifunza umri umeshaenda
Huyo diwani anae STADI za Kazi hana Stadi za Maisha

Kimsingi Mtaala wetu hauna kabisa Component za Stadi za Maisha

Ndio maana STADI za kuhusiana na kusimama kikamilifu kwenye nyazfa fulani wengi wanafeli
 
Back
Top Bottom