BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Umeongea jambo la maana sana mkuu.. Mental health ni everything kuliko billions of money,watu wana underate mnoo Afya ya akili..wanaifanya kuwa optional.Jamani emotions intelligence Ni ya muhimu kwa jamii yetu
Things that schools don't teach: . Emotional behaviour . Financial management . Relationship building . Developing the passion . Handling failures . Forgiveness . Generosity . Altruism . Persistence . Mental health.
Hizi ndio maisha yetu ingawa school hawazitilii maanani tunajifunza umri umeshaenda
Nenda pale mirembe hospital,ujionee wanao pokelewa pale,ni watu matajiri wana pesa zao,