Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Hahahaaaaa daaaaah kwamba "Mheshimiwa nani"?!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku niliyogundua huyo jamaa Kichwan ni chenga alileta masifa hadi kwenye msiba wa mama yake.
Eti "mimi naitwa mheshimiwa Rutta, ni mtoto wa mheshimiwa marehem Getrude Lwakatare, mheshimiwa mama yangu tutamkumbuka sana, naweza kusema kifo Cha mheshimiwa mama yangu kimekuja ghafla, kabla ya kifo nilimuuliza Muheshimiwa mama nini kinakusumbua sana? Muheshimiwa mama akaniambia Muheshimiwa Mwanangu Niko sawa Wala usijali, lakin bahati mbaya ndo hivyo Mungu kamchukua Muheshimiwa mama yangu"