Mutta Rwakatare avuliwe Udiwani

Umeongea jambo la maana sana mkuu.. Mental health ni everything kuliko billions of money,watu wana underate mnoo Afya ya akili..wanaifanya kuwa optional.
Nenda pale mirembe hospital,ujionee wanao pokelewa pale,ni watu matajiri wana pesa zao,
 
Umeongea jambo la maana sana mkuu.. Mental health ni everything kuliko billions of money,watu wana underate mnoo Afya ya akili..wanaifanya kuwa optional.
Nenda pale mirembe hospital,ujionee wanao pokelewa pale,ni watu matajiri wana pesa zao,
Pesa ndio kila ili tupate mbususu kirahisi ama unasemaje.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Naweza nikasema sababu mojawapo kubwa waafrika inatufanya tuwe masikini Ni nguvu nyingi za kiume, inapelekea kichwa Cha chini kinatawala Cha juu.
Afrika hatuna shida we've a lot natural resources so tuna uhakika kula kulala kuvaa kufakiu bila cost kubwa. Binadamu anapojua Hana option B nakuambia anafanya kazi kufa na kupona ili aishi.

Sasa unakuta mtu anafanya kazi/biashara Ila bado ana B option.

Nimetoka nje ya mada Kama kufanya jokes kuwa sie Africans tumependelewa nguvu nyingi za kiume na pia maumbile marefu kuliko race yoyote yaani mpaka nguruwe ngozi wanatuoneaga wivu.
 
Muta popote ulipo endelea kula bata wala safari hii usirudi tena asikutishe mtu hela yako mwenyewe nani wa kukupangia matumizi? Achana nao,kula bata,piga miti hadi dakika ya mwisho
 
Unnecessary blah blahs plus the hypocritical 'ignore-button' shit.
Inferiority complex?
 
CCM wanalindana
 
Ni chizi fulani
 
Unnecessary blah blahs plus the hypocritical 'ignore-button' shit.
Inferiority complex?
Explain hapa nipate somo la mental or how mind react to both pleasure and emotions pain.I love to play mind game so am looking mental strategy to win my mind so that it can play the game intelligently without being distracted/distorted/interfered/disturbed by an external interference.

If you allow your enemy into your mental space the battle has been lost.
The greatest victory in this planet is someone to conquer his own mind than conquering the battle of 100k soldiers. The internal will be forever but external is temporary.
Iam looking to conquer myself not even my neighbor.
Am only the enemy of myself.
 
Ooooh ok acha! bangi imekukataa
 
Ooooh ok acha! bangi imekukataa
Umeniambia neno laini mno bana. Hata halijanitingisha kabisa. Nishamove huko kwenye panga fimbo rungu manati bunduki saivi nahitaji mabomu niyazoee.
I do what I fear so that the death if fear is certain.
Sijui Kama unanipata mfano Kama unaogopa kupoteza pesa jifunze kuzipoteza mno baadaye utakuwa sugu hutoogopa kuzipoteza baadaye utaona kawaida tu. Hata kuchapiwa the same. You can train your mind to endure the thing that you're fearing of
 
Baada ya kupotelea kwa Ashura Mzaramo, kule Tabata na kukombolewa na jamii, imearifiwa leo kwamba Kapotea tena, Taarifa zinaonyesha kwamba Juhudi za kumtafuta hazjiazaa matunda
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ€£ lakini huoni kama anahitaji Privacy kwenye maisha yake binafsi?
 
Huyo jamaa sio Mzinzi kama wengi wanavyodhan hasa kama kipind kile amekutwa Tabata.. huyo jamaa ni Teja tena addicted wa Unga ila sio mtu wa madem

Na huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine!
Yaani kuachana na uteja lazima Mwenye Enzi Mungu mwenyewe aje kukusaidia walahi!
Hivi unaitwa ugonjwa wa familia nzima na marafiki wanao kujali tu!
Akitoka aliko kwenda ni kheri kumpeleka marekani kwenye rihab zao maana marekani ni babalao kwa mateja!
Maskini Gedtrude Lwakatare!
Alivyo kuwa muhangaikaji! Duh [emoji22]
 
Labda tujiulize mpaka sasa ameshachangia nini katika maendeleo ya Kawe. Kama ana mchango tumuache akae tu na sinema zake.
 
manji alifutwa udiwani kwa kosa la kutohuzuria vikao bila ruhusa wala taarifa ya uzuru .
Huyu jamaa yeye pia haudhurii lakini hafukuzwi
Halafu Manji ilijulikana kwamba yuko Mahabusu , lakini huyu aliyeko kwa Ashura na Tatu Kipini buza kwa mpalange hafutwi ubunge !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…