elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter
- #21
Shukrani sana mkuu kwa kuwa muelewa nawela vipande kwakuwa mimi naandika na kupost moja kwa moja nikichoka kuandika naishia nilipofikia siyo kwamba nakuwa nimeshaandika kila kitu.Mkuu achana na hao wenye mawazo ya Kimasikini, hawawezi kufanya hata robo ya unachofanya, binafsi na appreciate kazi yako, pia usitishwe na hao wanaotaka uweke hapa full story mwanzo mwisho utadhani wanakulipa, mbona walikua wanatizama Prison break series kwa week Mara moja kipande cha dakika 45, na walikua wanavumilia week nzima kusubiri kuona next episode!!
Ukipata nafasi tuwekee Episode ya 2.
Goodluck.