Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
ID x ya sasa mi marudio.Naitazama mkuu sema tatizo yani almost kila wanachoonyesha IDX ni marudio ni meshatazama ni mara chache sana wakaonyesha kitu ambacho sijatazama mkuu
kama unavyosema.
Ukitaka utamu zaidi nenda online afu cheki hizo investigation.
Halafu Alaska Haunting episode yake imefika mwisho or?...muendelezo wa Saturday Haunted baada ya ile Spiritual.
Jana walikuwa wanaonesha episode (Ripped from the headline) ile ya yule mtoto model JenBenet Ramsey aliwahi iletaga Mtambuzi mwaka 2012
Kitendawili kimeteguliwa baada ya miaka 20 tangu kuuawa ( aliuawa mwaka 96 akiwa na miaka 6)
Muuaji amepatikana.....ni Kaka yake mtoto wa baba yake kwa mama mwingine.
CC: Mtambuzi na Asnam