Muuguzi ajinyonga hadi kufa, Polisi wasema ni kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na madeni

Muuguzi ajinyonga hadi kufa, Polisi wasema ni kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na madeni

Ala kumbe ni muhimu kujichoma sindano kwanza eeee kupunguza uchungu wa kifo - kuna wengine wanasema ukitaka kufa vizuri badi kunywa aspilini kama 30 hivi - ukilala mazima.
Piritoni sio Aspirini.
 
Muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, David Mtaita (30) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ikiwa ni baada ya kujichoma sindano ya kutuliza maumivu.

Akizungumza leo Alhamisi Aprili 29, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kubainisha kuwa katika uchunguzi wa awali wamebaini muuguzi huyo alijinyonga juzi saa 12 jioni kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na madeni.

Amesema kabla ya kujinyonga alijichoma sindano ya kutuliza maumivu kwa kuwa ilikutwa pembeni ya mwili wake.

“Alifanya kitendo hicho katika nyumba aliyokuwa anaishi eneo la Singisi wilayani Arumeru,” amesema na kubainisha kuwa uchunguzi bado unaendelea.

Chanzo: Mwananchi
Si angesubiri ifike May mosi,labda mwenyekiti mpya atatangaza neema kwa watumishi wa uma?
 
Da ila jamaa angehama hata Mkoa tu,angeenda sehemu nyingine aanze upya.
 
Madeni ni issue kweli kweli... kuna jamaa muda wote simu yake iko off, anawasha anapiga then anazima hapo hapo kisa madeni. [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dawa ya deni ni kulipaaa ila daahhhh hahaaaha
 
Back
Top Bottom