Muuguzi ajinyonga hadi kufa, Polisi wasema ni kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na madeni

Muuguzi ajinyonga hadi kufa, Polisi wasema ni kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na madeni

Yaani wewe mpaka sasa haujui nani atakuwa mwenyekiti aibu kwa familia yako
 
Angesubiri kidogo angalau ajue hata mwenye kiti wa CCM ni nani?
😂😂😂Au angesubiri mpaka Mei mosi ipite,huenda angepata wasaa wa kulipa madeni yote.

Pumzika kwa AMANI muuguzi,najua inataka mtumishi mwenye roho ngumu mno kuishi kwenye nchi Kama hii isiyothamini watumishi wake!lala salama Mpiganaji na sisi tutafuata🙏🙏
 
Aisee simshangai kujinyonga kuna raia wanajua kudai vibaya aisee.
Umenikumbusha jamaa mmoja jamaa ni mtalaam wa kudai madeni;
1.Akiwa anakudai anachukua kitanda au godoro kwamba adha upatayo kwa issue ya kulala itakufanya uharakishe kulipa deni.

2.Anakupigia simu ya kukumbusha saa 8 usiku hadi 10 alfajiri kwamba yeye halali anawaza deni lake.
 
Depression is real.

No one feigns depression.

Let us try to be kinder to each other, be good, do good.

R.I.P Mister.
Hii kitu isikie kwa wengine, ikisha kukamata kuiondoa ni safari ndefu sana.
 
pole sana kwake.

wengine tuna madeni yaliyotuzidi kimo,ila tunapambana nayo.

rest in peace mwamba.

wenzio tupo tunaendelea na mapambano.
 
Back
Top Bottom