Muuguzi ajinyonga hadi kufa, Polisi wasema ni kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na madeni

Muuguzi ajinyonga hadi kufa, Polisi wasema ni kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na madeni

Depression is real.

No one feigns depression.

Let us try to be kinder to each other, be good, do good.

R.I.P Mister.

Kweli aisee,maisha yamekuwa vita na binadamu wamekuwa wa kuogopwa kuliko hata wanyama wakali
 
Hakuna kitu kinaniuma kumuoma mtu anahangaika na maisha halafu wanaomdai nao hawataki kusubiri.
Kinachohuzunisha ukute hayo madeni kayapata baada ya kukopa kuisaidia familia yake au mke halafu baadae wote wamemkimbia na kumuona mjinga.

Maisha haya yashawahi kunikuta, unadaiwa baada ya kujitoa kuokoa uhai wa watu na wengine kuwaokoa wasiende jela ila baadae wote wamekukimbia na kukucheka, ni Mungu tu aliniokoa na sijui kama Mungu atakuja kunipa mtihani mkubwa mwingine kama huo.

R. I. P kijana.
 
Muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, David Mtaita (30) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ikiwa ni baada ya kujichoma sindano ya kutuliza maumivu...
Good riddance
 
Hakuna kitu kinaniuma kumuoma mtu anahangaika na maisha halafu wanaomdai nao hawataki kusubiri.
Kinachohuzunisha ukute hayo madeni kayapata baada ya kukopa kuisaidia familia yake au mke halafu baadae wote wamemkimbia na kumuona mjinga...
Tatizo na anayekudai nae kazongwa na shida, hivi unaelewa kweli[emoji848]

Mimi kuna mtu namdai pesa ndefu kwelikweli, halisi 30k ya kunywa bia daily kwenye mishe zake but kumdai hataki kunilipa? Hivi mfano mtu kama huyu namfanyaje?
 
Ndio. Finances, mapenzi, mental illness...
In age ya 30's kweli mapenz yanakuwa bado ni issue,mi nadhan most of people inakuwa ni finances labda ila hzo other factors nadhan % zake ni chache sana though na admit zipo.
 
In age ya 30's kweli mapenz yanakuwa bado ni issue,mi nadhan most of people inakuwa ni finances labda ila hzo other factors nadhan % zake ni chache sana though na admit zipo.
We will never know for real will we?

A suicide note would have given us an idea.

Ila usijudge kwenye hii case pekee. Kumbuka kuna watu hasa maaskari wanawauwa wenzao na kujiua.
 
Apo kuna ushirikina sana sishangai uzuri marehemu nimepata taharifa zake kimafanikio akiwa hapo kazini sikushanga
 
Huenda alihonga ghali za marejesho akawa hana, miaka 30 ni michache sana ange fight na vile ana ajira ange sort out mambo yake
 
Habari za usiku wana jamii forums,kama kichwa cha habari kinavyosema
Muuguzi Ajinyonga Hadi Kufa!!

Muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, David Mtaita (30) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ikiwa ni baada ya kujichoma sindano ya kutuliza maumivu.

Arusha. Muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, David Mtaita (30) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ikiwa ni baada ya kujichoma sindano ya kutuliza maumivu.

Akizungumza leo Alhamisi Aprili 29, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kubainisha kuwa katika uchunguzi wa awali wamebaini muuguzi huyo alijinyonga juzi saa 12 jioni kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na madeni.

Amesema kabla ya kujinyonga alijichoma sindano ya kutuliza maumivu kwa kuwa ilikutwa pembeni ya mwili wake.

“Alifanya kitendo hicho katika nyumba aliyokuwa anaishi eneo la Singisi wilayani Arumeru,” amesema na kubainisha kuwa uchunguzi bado unaendelea.
Ushauri: Kwa mtazamo wangu naona Sio jambo sahihi mtu kujitoa uhai kutokana na matatizo mtu anayopitia ,hata kama unapitia matatizo kiasi gani cha msingi nikuangalia namna ya kusolve.!!Kuomba ushauri kwa wenye hekima
Mfano mimi huwa nikiwa na matatizo ni ngumu kukata tamaa sababu naamini kuna watu wenye matatizo zaid yangu Yaan chungu nzima !kuna watu wako Jalalani,hawana pakulala wala pakulaaaa , ,kuna watu hawana wazazi wote wawili and they manage To live despite How hard The life is,Kuna watu wapo polisi kwa kesi za ajabu mfano kuna rafiki yangu alipelekwa Kituoni Sasa tukajiandaa kwenda Kumtoa tunafika kituoni tukaskia kuna mtu ndani kashikwa Kwa sababu Yakumshika mdada ambaye ni Mfanyakazi mwenzake Tako [emoji28][emoji28] kibaya zaid yupo hapo Kwa zaid ya 40 days .
Lets try To agree our situations and always Smile while solving them because when we commit suicide no one will look at our family.

Maestro de Quimica !!OP
nyongaa1.jpg
images%20(11).jpg
 
Ahaa wapi.siwezi jinyonga sababu ya madeni.marekani yenyewe inadaiwa itakuwa Mimi?.
Nina madeni hapa mpaka nimekuwa sugu na sijali.
Mdaiwa HAFUNGWI
 
Kuna mmoja alikuwa anadaiwa na mchaga bati kama 10 hivi.mchaga anadai vibaya.
Akakutana na mpare mdaiwa.
Yule mdaiwa akamwambia mchaga Mimi nitajiua nife sababu ya madeni yako nimechokaaa.
Mchaga akasema ndugu unataka kujiua kisa deni langu ?basi nimekusamehe.
Madeni ni issue kweli kweli... kuna jamaa muda wote simu yake iko off, anawasha anapiga then anazima hapo hapo kisa madeni. [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom