Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Haha hahah hahaTutafutie na mstari wa bangi hatutaki mchezo kabisa haya mambo lazima yaeleweke.
Mkuu acha vitimbiTafuta na mstari unaosema kuhusu ulevi! Acha kujihalalishia mambo mkuu
Ni haramu kwakuwa wataalamu wa afya wamejiridhisha kuwa hiyo mimea haistahiri kutumika kama ulivyoeleza hapo juu.Naona umekaririshwa kuwa alichokitengeneza Yesu ni pombe.
Sasa leo ninakukaririsha kitu kingine, bangi, mirungi, cocaine na heroin ni mimea iliyoumbwa na Mungu, na kwakuwa Mungu aliumba vitu vizuri, vipi kwanini wakuu wa dini waseme haramu?
Kwa hiyo alitengeneza divai ya kunawia au?Naona umekaririshwa kuwa alichokitengeneza Yesu ni pombe.
Sasa leo ninakukaririsha kitu kingine, bangi, mirungi, cocaine na heroin ni mimea iliyoumbwa na Mungu, na kwakuwa Mungu aliumba vitu vizuri, vipi kwanini wakuu wa dini waseme haramu?
Naona umekaririshwa kuwa alichokitengeneza Yesu ni pombe.
Sasa leo ninakukaririsha kitu kingine, bangi, mirungi, cocaine na heroin ni mimea iliyoumbwa na Mungu, na kwakuwa Mungu aliumba vitu vizuri, vipi kwanini wakuu wa dini waseme haramu?
Je, divai ni pombe?Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Divai hailevyi ndugutusikatae kwanza ukweli kwamba alitengeneza pombe,divai inalevya kwahiyo ni pombe.
sasa tetea hoja kwanini alitengeneza siyo kutaka kusema divai siyo pombe
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?[emoji1634][emoji1635][emoji482][emoji481][emoji485]
Tatizo pombe na sadaka sawa na kibaka na kituo cha polisi!Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.