Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Aya ya 9.
Muwe mnasoma maandiko yenu jamani.View attachment 2066759
Dogo elewa maandiko, Hema ya kukutania inahusu mahali pa kufanyia ibada.
Na nimeandika hapo juu, Usinywe pombe wakati wa kazi.

Ibada ni moja ya kazi aliyotupa Mwenyezi Mungu.

Huwezi kunywa pombe halafu uende kumwabudu Mungu au uende kufanya kazi ya Mungu yoyote ile.

Pombe inafaa siku na muda wa kupumzika.

Hebu tulia na ulete andiko lingine.
 
Soma Tena aya Ya 9..
Haya nipe andiko Mungu kawaambia mkiwa nje ya hekalu MNYWE POMBE
Hapo ni wakati wa kuingia hekaluni kuabudu. Ndio wasiingie wakiwa wamelewa. Maana pale mnakutana kuongea Mambo ya Mungu.
Screenshot_20220103-093358.jpg
 
Sawa Sasa nipe andiko Mungu kawaambia
MNYWE POMBE BAA
Dogo elewa maandiko, Hema ya kukutania inahusu mahali pa kufanyia ibada.
Na nimeandika hapo juu, Usinywe pombe wakati wa kazi.

Ibada ni moja ya kazi aliyotupa Mwenyezi Mungu.

Huwezi kunywa pombe halafu uende kumwabudu Mungu au uende kufanya kazi ya Mungu yoyote ile.

Pombe inafaa siku na muda wa kupumzika.

Hebu tulia na ulete andiko lingine.
 
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.

Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.

Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.

Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Ila kuna tofauti kati ya Divai dhaifu na divai njema.
 
Kwani YESU aliwahi kufanya mapenzi?
Mbona NYIE wakristo mnafanya mapenzi?.
Kwanini msiseme kwa kuwa yesu hakufanya mapenzi na NYIE HAMFANYI.
Kwa kubadilisha maji kuwa divai, Yesu alitaka kutufundisha nini?

Kwanini muujiza wa divai uwe muujiza wake wa kwanza?
 
Hilo andiko halijasema msinywe divai wala kileo chochote kwani kufanya hivyo ni dhambi,, bali limesema msinywe divai na kileo pale tu pindi muingiapo ndani ya hema ya kukutania,, sasa hapa inabidi tujua hilo hema la kukutania ndio wapi ili watu wakiingia humo tu wasipige vyombo,, ila vyombo ni ruksa kwa mujibu wa andiko alilolitoa mkuu Bujibuji Simba Nyanaume
 
Hivi inaingia akilini kweli.
Yesu kutengeneza POMBE?
hata kwa akiki tu za kuvukia Barabara.
Tatizo biblia inajicontradict. Kuna baadhi ya vitabu vinaonyesha pombe si dhambi. Hebu kwanza tuhakikishie kuwa divai aliyotengeneza yesu ilikuwa ni juice
 
Sawa Sasa nipe andiko Mungu kawaambia
MNYWE POMBE BAA
Sasa wewe unataka neno la moja kwa moja then una reason ya kitoto Sana. Umeona hapo juu methali ilisema mpe Masikini pombe/kileo au hujasoma. Mvinyo/divai vyote vinalwesha alikunywa Nuhu na wala hakuzinguliwa. We unadhani kulikuwa na karami yoyote ilifanyia uyahudini bila divai/mvinyo hata last super ilikuwa na mvinyo.
 
hakuna sehemu katika biblia kilichokataza pombe lakini nadhani wale walioleta ukristo ndio hawakutaka sisi waafrika kunywa pombe
 
Basi nipe andiko Mungu kawaambia MNYWE POMBE BAA
Hilo andiko halijasema msinywe divai wala kileo chochote kwani kufanya hivyo ni dhambi,, bali limesema msinywe divai na kileo pale tu pindi muingiapo ndani ya hema ya kukutania,, sasa hapa inabidi tujua hilo hema la kukutania ndio wapi ili watu wakiingia humo tu wasipige vyombo,, ila vyombo ni ruksa kwa mujibu wa andiko alilolitoa mkuu Bujibuji Simba Nyanaume
 
Mbona andiko la kukatazwa kunywa pombe hekaluni lipo.
Ila andiko la kuruhusu kunywa pombe kilabuni halipo?
Au muandishi alisahau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa wewe unataka neno la moja kwa moja then una reason ya kitoto Sana. Umeona hapo juu methali ilisema mpe Masikini pombe/kileo au hujasoma. Mvinyo/divai vyote vinalwesha alikunywa Nuhu na wala hakuzinguliwa. We unadhani kulikuwa na karami yoyote ilifanyia uyahudini bila divai/mvinyo hata last super ilikuwa na mvinyo.
 
Sawa Sasa nipe andiko Mungu kawaambia
MNYWE POMBE BAA
Ha...ha...ha...

Bar hapanywewi Pombe pekee.
Bar ni Jengo panapo uzwa vinywaji mbalibali na Chakula. Na pia sehemu ya kupumzika kubadilishana mawazo na Wadau mbali mbali.
Maandiko yanakataza pombe kama inanywewa bila kufuata taratibu zake kama nilizoziandika pale juu.
 
Back
Top Bottom