Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Ili USIWE mlevi unatakiwa unywe bia kuanzia ngapi?
Au alcohol ngapi imewekwa Kama kipimo yaani ukifika hyo alcohol inakuwa umekuwa mlevi.
Si nimekuandikia hapo juu au unasoma juu juu.

Usinywe pombe kuzidi UWEZO WAKO WA MWILI.

Kunywa ILIYORUHUSIWA NA SERIKALI.

Kunywa MUDA WA MAPUMZIKO baada ya kazi zako

Usinyweee BAJETI YA MAMBO MENGINE KAMA ada, matibabu, ujenzi, Akiba yako, chakula cha nyumbani nk.
 
Hivi inaingia akilini kweli.
Yesu kutengeneza POMBE?
hata kwa akiki tu za kuvukia Barabara.
Screenshot_20220103-100351_Chrome.jpg

Yesu anakiri kwamba alikuwa anakunywa divai
 
Hawa jamaa wajanja wajanja Sana.[emoji16][emoji16].
Yaani haiingii akilini kweli nabii wa Mungu.
Au Mungu au mtoto wa Mungu Kama wao wanavyomuita
AKATENGENEZA POMBE
Hapo watakwambia hilo ni agano la kale na ni sheria kipindi cha Musa, ila alipokuja Yesu alitengua kwa yeye mwenyewe kiyageuza maji kua divai katika sherehe kisha waumini wakapombeka.
 
Ndo nimekuuliza ili ujue umekunywa pombe ndani ya uwezo wako.
Unatakiwa unywe bia kuanzia ngapi?
au Kuna maandiko yanafundisha jinsi ya kunywa pombe ?
Kwamba unatakiwa unywe kiasi kadhaa ndio kipo ndani ya uwezo wako
Si nimekuandikia hapo juu au unasoma juu juu.

Usinywe pombe kuzidi UWEZO WAKO WA MWILI.

Kunywa ILIYORUHUSIWA NA SERIKALI.

Kunywa MUDA WA MAPUMZIKO baada ya kazi zako

Usinyweee BAJETI YA MAMBO MENGINE KAMA ada, matibabu, ujenzi, Akiba yako, chakula cha nyumbani nk.
 
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.

Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.

Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.

Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?[emoji1634][emoji1635][emoji482][emoji481][emoji485]
Hayo maji yenu mmetengeneza wenyewe mmeweka matakataka ya chemical zinazo haribu akili yenu
Sio ile divai aliyo ibariki Yesu
 
Yesu alikuwa anashtua glass ngapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio ila hakuwa Mlevi.
Na alikuwa anakula chakula ila hakuwa Mlafi

Ndio maana ya hilo Andiko

Iko tofauti kati ya Kula chakula, na kuwa Mlafi.
Na Kunywa Pombe, na kuwa Mlevi.
 
Hata biblia inasema
" kuleni majani ya mkunde maana yana baraka ndani yake"
Katika utafiti wetu wa kutafuta majani ya mkunde tukagundua majani ya mkunde ni mirungi
 
Hawa jamaa wajanja wajanja Sana.[emoji16][emoji16].
Yaani haiingii akilini kweli nabii wa Mungu.
Au Mungu au mtoto wa Mungu Kama wao wanavyomuita
AKATENGENEZA POMBE
Kwani Pombe iliumbwa na nani?

Nyie Mbinguni si mmetengenezewa Mito ya Pombe kabisa.
Mito kama Nile na Rufiji ya Pombe.
Katengeneza nani hiyo?
 
Ushasema mbinguni.
Lakini duniani tumekatazwa.
Kutokana na maandiko yetu.
Ila kwenye BIBLIA pia pombe imekatazwa.
Aya ya 10.
Kwanini unabishana na maandiko?
Kwani Pombe iliumbwa na nani?

Nyie Mbinguni si mmetengenezewa Mito ya Pombe kabisa.
Mito kama Nile na Rufiji ya Pombe.
Katengeneza nani hiyo?
Screenshot_20220103-095204.jpg
 
Ila alikumbuka kuwatengenezea POMBE.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yesu alishuka duniani kwa lengo moja tu.

Kuwatangazia walimwengu Habari Njema ya Ufalme wa Mbingu.

Alipo maliza alipaa Mbinguni.
 
Back
Top Bottom