AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Hapo ni wakati wa kuingia hekaluni kuabudu. Ndio wasiingie wakiwa wamelewa. Maana pale mnakutana kuongea Mambo ya Mungu.HAPO VIPI?View attachment 2066760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni wakati wa kuingia hekaluni kuabudu. Ndio wasiingie wakiwa wamelewa. Maana pale mnakutana kuongea Mambo ya Mungu.HAPO VIPI?View attachment 2066760
Tatizo biblia inajicontradict. Kuna baadhi ya vitabu vinaonyesha pombe si dhambi. Hebu kwanza tuhakikishie kuwa divai aliyotengeneza yesu ilikuwa ni juiceAya ya 9.
Muwe mnasoma maandiko yenu jamani.View attachment 2066759
Dogo elewa maandiko, Hema ya kukutania inahusu mahali pa kufanyia ibada.Aya ya 9.
Muwe mnasoma maandiko yenu jamani.View attachment 2066759
Hapo ni wakati wa kuingia hekaluni kuabudu. Ndio wasiingie wakiwa wamelewa. Maana pale mnakutana kuongea Mambo ya Mungu.
Dogo elewa maandiko, Hema ya kukutania inahusu mahali pa kufanyia ibada.
Na nimeandika hapo juu, Usinywe pombe wakati wa kazi.
Ibada ni moja ya kazi aliyotupa Mwenyezi Mungu.
Huwezi kunywa pombe halafu uende kumwabudu Mungu au uende kufanya kazi ya Mungu yoyote ile.
Pombe inafaa siku na muda wa kupumzika.
Hebu tulia na ulete andiko lingine.
Ila kuna tofauti kati ya Divai dhaifu na divai njema.Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Kwa kubadilisha maji kuwa divai, Yesu alitaka kutufundisha nini?
Kwanini muujiza wa divai uwe muujiza wake wa kwanza?
Kuna tofauti kati ya divai na kileoSoma Tena aya Ya 9..
Haya nipe andiko Mungu kawaambia mkiwa nje ya hekalu MNYWE POMBEView attachment 2066766
Hilo andiko halijasema msinywe divai wala kileo chochote kwani kufanya hivyo ni dhambi,, bali limesema msinywe divai na kileo pale tu pindi muingiapo ndani ya hema ya kukutania,, sasa hapa inabidi tujua hilo hema la kukutania ndio wapi ili watu wakiingia humo tu wasipige vyombo,, ila vyombo ni ruksa kwa mujibu wa andiko alilolitoa mkuu Bujibuji Simba NyanaumeHAPO VIPI?View attachment 2066760
Tatizo biblia inajicontradict. Kuna baadhi ya vitabu vinaonyesha pombe si dhambi. Hebu kwanza tuhakikishie kuwa divai aliyotengeneza yesu ilikuwa ni juice
KabisaTutafutie na mstari wa bangi hatutaki mchezo kabisa haya mambo lazima yaeleweke.
Kuna tofauti kati ya divai na kileo
Sasa wewe unataka neno la moja kwa moja then una reason ya kitoto Sana. Umeona hapo juu methali ilisema mpe Masikini pombe/kileo au hujasoma. Mvinyo/divai vyote vinalwesha alikunywa Nuhu na wala hakuzinguliwa. We unadhani kulikuwa na karami yoyote ilifanyia uyahudini bila divai/mvinyo hata last super ilikuwa na mvinyo.Sawa Sasa nipe andiko Mungu kawaambia
MNYWE POMBE BAA
Hilo andiko halijasema msinywe divai wala kileo chochote kwani kufanya hivyo ni dhambi,, bali limesema msinywe divai na kileo pale tu pindi muingiapo ndani ya hema ya kukutania,, sasa hapa inabidi tujua hilo hema la kukutania ndio wapi ili watu wakiingia humo tu wasipige vyombo,, ila vyombo ni ruksa kwa mujibu wa andiko alilolitoa mkuu Bujibuji Simba Nyanaume
Sasa wewe unataka neno la moja kwa moja then una reason ya kitoto Sana. Umeona hapo juu methali ilisema mpe Masikini pombe/kileo au hujasoma. Mvinyo/divai vyote vinalwesha alikunywa Nuhu na wala hakuzinguliwa. We unadhani kulikuwa na karami yoyote ilifanyia uyahudini bila divai/mvinyo hata last super ilikuwa na mvinyo.
So tumekubaliana kwanza kwamba vyombo ni ruksa kwa mujibu wa biblia ila shida yako unataka kujua mstari wa wapi imeandikwa watu waende bar kupiga vyombo si ndioBasi nipe andiko Mungu kawaambia MNYWE POMBE BAA
Ha...ha...ha...Sawa Sasa nipe andiko Mungu kawaambia
MNYWE POMBE BAA