Sisi kina nani? Mimi nafuata Amri kumi za Mungu, na maagizo ya Yesu. Kama wengine wanamfuata Paulo siwapangiiOooohooo.
Leo Paulo amekuwa sio mtume wa YESU?
Si mnasema kuwa yesu alimtokea Paulo akampa utume?
Leo mnakataa maneno ya Paulo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Yes kaka. Jana nilikunywa ALTAR wine (divai ya madhahabuni) nikalewa.
Sisi kina nani? Mimi nafuata Amri kumi za Mungu, na maagizo ya Yesu. Kama wengine wanamfuata Paulo siwapangii
Kwani sisi ni Waefeso?
Waefeso ni waefeso. Kama ni wakristo au sio hiyo sio kazi yangu kujua. Mimi nafuata amri za Mungu alizotoa kwa WATU WOTEKwani waefeso Wana biblia yao tofauti na yenu?
Au waefeso sio wakristo?
Tufuate ya Yesu au tuyafuate ya Paulo?Na Mimi nakupiga na Aya.View attachment 2066929
Waefeso ni waefeso. Kama ni wakristo au sio hiyo sio kazi yangu kujua. Mimi nafuata amri za Mungu alizotoa kwa WATU WOTE
Kama waefeso wameambiwa wasinywe Divai haimaanishi wahaya wameambiwa wasinywe RUBISI au wachaga wasinywe MBEGE.
Tufuate ya Yesu au tuyafuate ya Paulo?
Nani ni mkuu kati ya Yesu na Paulo
Paulo ana complicatekwani mafundisho ya yesu na Paulo ni tofauti?
Soma uelewa sio ukalili. Hii amri ilizui watu kutumia vilevi waendapo kwenye ibada (hema ya kukutania ilikuwa ni sehemu maalum iliyo andaliwa kwaajiri ya kuabudia.Haya saaa.
Hao wenzio nao waliofata amri kumi za Mungu wameambiwaje hapo?View attachment 2066939
Tatizo unakalili huelewi hilo neno " ambamo mna ufisadi" umelitafakari ukalielewa nn alimaanisha?Aya ya 18.
Pombe NI pombe tu iwe nyingi au kidogoView attachment 2066933
Ungemalizia mstari wa 12 ambao unaweka bayana uhalali wa vituSoma aya ya 9 mpaka ya 10View attachment 2066851
Kama ambavyo hakuna lililoninyima kula wali, hakuna pia lililoninyima kupiga ulabu.Basi nipe andiko ambalo limekuruhusu wewe mmatumbi unywe pombe
Afu anawaambia Waefeso, inatuhusu nini wamatumbi?Paulo ana complicate
Bold.Tunaangamia kwa kukosa Maarifa
Mithali23
29 Ni nani apigaye, Yowe? Ni nani aliaye, Ole?
Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye mguno?
Ni nani aliye na jeraha zisizo na sababu?
Ni nani aliye na macho mekundu?
30Ni wale wakaao sana kwenye mvinyo;
Waendao kutafuta divai iliyochanganyika.
31Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu;
Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu;
32Mwisho wake huuma kama nyoka;
Huchoma kama fira.
33Macho yako yataona mambo mageni;
Na moyo wako utatoa yaliyopotoka.
34Naam, utakuwa kama alalaye katikati ya bahari;
Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti.
35 Utasema, Wamenichapa wala sikuumia;
Wamenipiga wala sina habari;
Nitaamka lini, nitazidi kuitafuta tena.
Hata mimi sijanywa pombe nimekunywa biakwani YESU Kuna sehemu amesema amekunywa pombe?
Tuanzie hapo
Kama ambavyo hakuna lililoninyima kula wali, hakuna pia lililoninyima kupiga ulabu.
Nimeambiwa nisiibe, nisizini, nisishuhudie uongo, niheshimu wazazi nk nk... lakini sijaambiwa nisipige ulabu wala nisije wali.
Hata mimi sijanywa pombe nimekunywa bia
Ungemalizia mstari wa 12 ambao unaweka bayana uhalali wa vitu