mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tatizo unakalili huelewi hilo neno " ambamo mna ufisadi" umelitafakari ukalielewa nn alimaanisha?
Soma uelewa sio ukalili. Hii amri ilizui watu kutumia vilevi waendapo kwenye ibada (hema ya kukutania ilikuwa ni sehemu maalum iliyo andaliwa kwaajiri ya kuabudia.
“Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;
” Waefeso 5:18. Nimeona unaongelea na huu mstari swali ni je neno "ambamo mna ufisadi" kwa kingereza limetumika neno “wherein is excess" umelielewa ama umesoma tu bila kutafakari?
Soma uelewa sio ukalili. Hii amri ilizui watu kutumia vilevi waendapo kwenye ibada (hema ya kukutania ilikuwa ni sehemu maalum iliyo andaliwa kwaajiri ya kuabudia.
“Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;
” Waefeso 5:18. Nimeona unaongelea na huu mstari swali ni je neno "ambamo mna ufisadi" kwa kingereza limetumika neno “wherein is excess" umelielewa ama umesoma tu bila kutafakari?
Paulo ana complicate
Nikweli kabisa Kwa desturi ya wayahudi walikua kwenye harusi wanakunywa divai(pombe) ambapo mwenye harusi aliandaa divai iliyo njema ambayo inakua Kali Sana imekaa muda mrefu(Iliyo njema) na watu wakishakunywa na kutosheka inaanza kuletwa divai isiyo Kali Sana ambayo haijakaa muda mrefu.Kwa wale wanaosema Divai iliyotumika katika harusi ya Kana sio kilevi naomba walinganishe mistari hii ya Biblia.
Yohane 2:1-25 BHN
Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, naye Yesu alikuwa amealikwa harusini pamoja na wanafunzi wake. Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!” Yesu akamjibu, “Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.” Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.” Hapo palikuwa na mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza kuchukua kiasi cha madebe mawili au matatu. Ilikuwa imewekwa hapo kufuatana na desturi ya Kiyahudi ya kutawadha. Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.” Mkuu wa karamu alipoonja hayo maji, kumbe yalikuwa yamegeuka kuwa divai. Yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi waliochota maji walijua). Mkuu wa karamu akamwita bwana arusi, akamwambia, “Kila mtu huandaa divai nzuri kwanza hata wakisha tosheka huandaa ile hafifu. Lakini wewe umeiweka divai nzuri mpaka sasa!”
Mwanzo 9
Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. 22Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje. 23Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao
Je, Divai aliyokunywa Nuhu na kulewa si hiyo hiyo iliyotumika katika Harusi ya Kana?
Kwanza tambua sio kila anywae ni mlevi na sio kila mlevi ni mnywaji ata anaetumia madawa ya kulevya anaweza kulewa. Kwaiyo unaweza kunywa na bado usilewe.
Kwanza tambua sio kila anywae ni mlevi na sio kila mlevi ni mnywaji ata anaetumia madawa ya kulevya anaweza kulewa. Kwaiyo unaweza kunywa na bado usilewe.
Kwann walevi hawataingia mbinguni? Kwa sababu ukilewa uwezo wa kucontral akili unapungua na hapo ni rahis kwako kujitia dhambini.
Tafsiri ni hiyo hiyi moja tatzo ni kuwa lugha ya kiswahili ndio ilikuwa haijakuwa kupata baadhi ya maneno yenye maana nyepesihivi kumbe biblia ya kiingereza na KISwahili Zina tafsiri tofauti nilikuwa sijui.
Kama UFISADI UNA TAFSRI NYINGINE KWA KIINGEREZA
Kwanza tambua sio kila anywae ni mlevi na sio kila mlevi ni mnywaji ata anaetumia madawa ya kulevya anaweza kulewa. Kwaiyo unaweza kunywa na bado usilewe.
Kwann walevi hawataingia mbinguni? Kwa sababu ukilewa uwezo wa kucontral akili unapungua na hapo ni rahis kwako kujitia dhambini.
Tafsiri ni hiyo hiyi moja tatzo ni kuwa lugha ya kiswahili ndio ilikuwa haijakuwa kupata baadhi ya maneno yenye maana nyepesi
Tofautisha Ulevi na Unywaji pombe
Tofautisha Ulevi na Unywaji pombe
Utalewaje bila kunywa,??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walevi hawatoingia peponi Ila wanywaji pombe wataingia.[emoji848].
Siku hyo Mungu atapata Sana kuwatambua walevi na wanywaji
Mbona unauliza maswali ya kitoto?Ila mnywaji na mlevi wote wanakunywa POMBE?[emoji848][emoji848]
au hapo mmoja anakunywa maji.
vipi zipo Aya zinazosema MNYWE POMBE gani ili msilewe?
Baada Kuna moja hyo inaitwa double kiki.sio poa hata kifuniko tu unalewa
Haujaambiwa usinywe mvinyo.Bali umeambiwa usilewe mvinyo.Tofautisha kunywa na kulewaAya ya 18.
Pombe NI pombe tu iwe nyingi au kidogoView attachment 2066933
Utalewaje bila kunywa,??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unauliza maswali ya kitoto?
Tatzo ni kulewa aijalishi ni aina gan ya pombe unayo kunywa. Unayo kunywa ww kijiko ukalewa mwingne anakunywa glass nzima bila kulewa, cha muhim ni kujijua uwezo wako kama uwezi kuziepuka kabisa.
Ndio maana hio hio biblia inasema kila kitu unanyacho fanya kwa kiasi
Afu yani ni kwanini tufuate maagizo ya Paulo badala ya kufuata ya Mshua mwenyewe?
Cha msingi ni kufuata amri kumi za mshua mwenyewe. Katika amri hizo hakuna inayosema USILEWE
Mwanae alivyokuja akaweka mambo rahisi zaidi. Akasema nawapeni amri mpya PENDANENI...
Bujibuji Simba Nyanaume nyoko hapa unigongee LIKE kudadadadeki. Afu usogee hapa Bunju tupige gambe huku tukitafakari hili neno kuntu
[/QUOTE wao kama wamechagua kutokunywa wasianzishe ugomvi na sisi maana sisi hatuna muda wa kuwalzamisha wanywe....tupige kilajii kwa afya
Ebu nipe tafsiri nyepesi ya neno excess? Ndio utaelewa hilo neno fisadi lilisimama hapo kwa maana ganiKwa hyo unashauri hyo UFISADI tuitoe kwenye Hilo andiko?