Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Na hyo Aya ya 10.
Wameambiwa akina Nani.
Nipe elimu mchungaji.
Soma uelewa sio ukalili. Hii amri ilizui watu kutumia vilevi waendapo kwenye ibada (hema ya kukutania ilikuwa ni sehemu maalum iliyo andaliwa kwaajiri ya kuabudia.

“Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;
” Waefeso 5:18. Nimeona unaongelea na huu mstari swali ni je neno "ambamo mna ufisadi" kwa kingereza limetumika neno “wherein is excess" umelielewa ama umesoma tu bila kutafakari?
Screenshot_20220103-095204.jpg
 
hivi kumbe biblia ya kiingereza na KISwahili Zina tafsiri tofauti nilikuwa sijui.
Kama UFISADI UNA TAFSRI NYINGINE KWA KIINGEREZA

Kwa wale wanaosema Divai iliyotumika katika harusi ya Kana sio kilevi naomba walinganishe mistari hii ya Biblia.

Yohane 2:1-25 BHN

Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, naye Yesu alikuwa amealikwa harusini pamoja na wanafunzi wake. Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!” Yesu akamjibu, “Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.” Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.” Hapo palikuwa na mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza kuchukua kiasi cha madebe mawili au matatu. Ilikuwa imewekwa hapo kufuatana na desturi ya Kiyahudi ya kutawadha. Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.” Mkuu wa karamu alipoonja hayo maji, kumbe yalikuwa yamegeuka kuwa divai. Yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi waliochota maji walijua). Mkuu wa karamu akamwita bwana arusi, akamwambia, “Kila mtu huandaa divai nzuri kwanza hata wakisha tosheka huandaa ile hafifu. Lakini wewe umeiweka divai nzuri mpaka sasa!”

Mwanzo 9
Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. 22Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje. 23Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao

Je, Divai aliyokunywa Nuhu na kulewa si hiyo hiyo iliyotumika katika Harusi ya Kana?
Nikweli kabisa Kwa desturi ya wayahudi walikua kwenye harusi wanakunywa divai(pombe) ambapo mwenye harusi aliandaa divai iliyo njema ambayo inakua Kali Sana imekaa muda mrefu(Iliyo njema) na watu wakishakunywa na kutosheka inaanza kuletwa divai isiyo Kali Sana ambayo haijakaa muda mrefu.
Kwa wnaokunywa wanajua haiwezekani pombe isiyokali au juisi ndio ikaitwa nzuri.

Sasa mkuu wa meza alipoletewa divai Ile yamuujiza wa Yesu alishangaa kwamba bwana harusi ameweza kuwa na divai nzuri mpaka muda ule na alimsifu pia.

Uheheni ingekua watu wanakunywa ugimbi au ulanzi mkangafu halafu baadae wanaletewa nyululu au ulanzi mtogwa wakiwa wamelewa(tosheka).

Sasa haingewezekana harusi ilikua na pombe kwamujibu wa desturi halafu yesu aanze kuwatengenezea watu juisi wasingekunywa kwakweli na wangemcheka bwana harusi na sio kumsifia na harusi ingeharibika.
Labda tuambiwa ulikua muujiza wa kuwafanya watu wanywe Juisi baada ya kunywa pombe.

Sasa biblia yote ni ama watu wamekatazwa pombe wao binafsi au katika mazingira flani Ila kinachokatazwa moja Kwa moja ni ulevi na sio kunywa pombe kujifurahisha bila makwazo Kwa yeyote.

Huku Africa sasa kutokana na watu kuwa na uelewa mdogo au kutokua na Kiasi wanakatazwa moja Kwa moja na viongozi wao ili wasijekuzidisha na wamepewa onyo Kali kabisa "usiguse pombe ni mapepo hayo" Kwahiyo hao waumini hata kugusa tu chupa ya bia hawataki sembuse kunywa.

Niuelewa finyu na ufikiri Mdogo ndio kikwazo kulielewa hili. Pombe ni sehemu ya chakula Kwa jamii nyingi Ila hakuna jamii inayokubali/ruhusu na kushadadia kunywa kupitiliza au ulevi.

Sasa kama huwezi kuwa na Kiasi katika kunywa pombe hapo ndipo tunapokuomba uache kunywa pombe kabisa.

Ukiweza kaa baa na uangalie kuna wanaokunywa bia moja na kushindwa hata kurudi kwao na kuna wanaokunywa bia kumi na kuwa sawa kabisa na kuendesha kurudi kwao bila shida na hawamdhuru wala kumtukana yeyote.
 
Na hyo Aya ya 10.
Wameambiwa akina Nani.
Nipe elimu mchungaji.View attachment 2066982
Kwanza tambua sio kila anywae ni mlevi na sio kila mlevi ni mnywaji ata anaetumia madawa ya kulevya anaweza kulewa. Kwaiyo unaweza kunywa na bado usilewe.
Kwann walevi hawataingia mbinguni? Kwa sababu ukilewa uwezo wa kucontral akili unapungua na hapo ni rahis kwako kujitia dhambini.
 
Ila mnywaji na mlevi wote wanakunywa POMBE?[emoji848][emoji848]
au hapo mmoja anakunywa maji.
vipi zipo Aya zinazosema MNYWE POMBE gani ili msilewe?
Baada Kuna moja hyo inaitwa double kiki.sio poa hata kifuniko tu unalewa
Kwanza tambua sio kila anywae ni mlevi na sio kila mlevi ni mnywaji ata anaetumia madawa ya kulevya anaweza kulewa. Kwaiyo unaweza kunywa na bado usilewe.
Kwann walevi hawataingia mbinguni? Kwa sababu ukilewa uwezo wa kucontral akili unapungua na hapo ni rahis kwako kujitia dhambini.
 
hivi kumbe biblia ya kiingereza na KISwahili Zina tafsiri tofauti nilikuwa sijui.
Kama UFISADI UNA TAFSRI NYINGINE KWA KIINGEREZA
Tafsiri ni hiyo hiyi moja tatzo ni kuwa lugha ya kiswahili ndio ilikuwa haijakuwa kupata baadhi ya maneno yenye maana nyepesi
 
Walevi hawatoingia peponi Ila wanywaji pombe wataingia.[emoji848].
Siku hyo Mungu atapata Sana kuwatambua walevi na wanywaji
Kwanza tambua sio kila anywae ni mlevi na sio kila mlevi ni mnywaji ata anaetumia madawa ya kulevya anaweza kulewa. Kwaiyo unaweza kunywa na bado usilewe.
Kwann walevi hawataingia mbinguni? Kwa sababu ukilewa uwezo wa kucontral akili unapungua na hapo ni rahis kwako kujitia dhambini.
 
Kwa hyo unashauri hyo UFISADI tuitoe kwenye Hilo andiko?
Tafsiri ni hiyo hiyi moja tatzo ni kuwa lugha ya kiswahili ndio ilikuwa haijakuwa kupata baadhi ya maneno yenye maana nyepesi
 
Ila mnywaji na mlevi wote wanakunywa POMBE?[emoji848][emoji848]
au hapo mmoja anakunywa maji.
vipi zipo Aya zinazosema MNYWE POMBE gani ili msilewe?
Baada Kuna moja hyo inaitwa double kiki.sio poa hata kifuniko tu unalewa
Mbona unauliza maswali ya kitoto?
Tatzo ni kulewa aijalishi ni aina gan ya pombe unayo kunywa. Unayo kunywa ww kijiko ukalewa mwingne anakunywa glass nzima bila kulewa, cha muhim ni kujijua uwezo wako kama uwezi kuziepuka kabisa.
Ndio maana hio hio biblia inasema kila kitu unanyacho fanya kwa kiasi
 
Siku nikinywa maji ya bombani nikalewa.
Nitakuwa mlevi au mnywaji?
Mbona unauliza maswali ya kitoto?
Tatzo ni kulewa aijalishi ni aina gan ya pombe unayo kunywa. Unayo kunywa ww kijiko ukalewa mwingne anakunywa glass nzima bila kulewa, cha muhim ni kujijua uwezo wako kama uwezi kuziepuka kabisa.
Ndio maana hio hio biblia inasema kila kitu unanyacho fanya kwa kiasi
 
a
Afu yani ni kwanini tufuate maagizo ya Paulo badala ya kufuata ya Mshua mwenyewe?

Cha msingi ni kufuata amri kumi za mshua mwenyewe. Katika amri hizo hakuna inayosema USILEWE

Mwanae alivyokuja akaweka mambo rahisi zaidi. Akasema nawapeni amri mpya PENDANENI...

Bujibuji Simba Nyanaume nyoko hapa unigongee LIKE kudadadadeki. Afu usogee hapa Bunju tupige gambe huku tukitafakari hili neno kuntu
[/QUOTE wao kama wamechagua kutokunywa wasianzishe ugomvi na sisi maana sisi hatuna muda wa kuwalzamisha wanywe....tupige kilajii kwa afya
 
Back
Top Bottom