mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Haujaambiwa usinywe mvinyo.Bali umeambiwa usilewe mvinyo.Tofautisha kunywa na kulewa
Kigezo cha kuingia mbingun sio kimoja tuWalevi hawatoingia peponi Ila wanywaji pombe wataingia.[emoji848].
Siku hyo Mungu atapata Sana kuwatambua walevi na wanywaji
Mnywaji (kama hatolewa Bali kuchangamka kiasi kutegemea na uwezo wake kuhimili pombe) Ila kama atalewa basi ni mleviMtu akinywa konyagi au double Kiki.
Anakuwa mlevi au mnywaji?
Ebu nipe tafsiri nyepesi ya neno excess? Ndio utaelewa hilo neno fisadi lilisimama hapo kwa maana gani
Tatizo ata lugha bado inakuchanganya.Siku nikinywa maji ya bombani nikalewa.
Nitakuwa mlevi au mnywaji?
Mnywaji (kama hatolewa Bali kuchangamka kiasi kutegemea na uwezo wake kuhimili pombe) Ila kama atalewa basi ni mlevi
Kigezo cha kuingia mbingun sio kimoja tu
Kwa hiyo kwakuwa Biblia haijaweka wewe umeamua kujiwekea? Kama haijaweka standard maana yake hapakuwa na umuhimu huo,Kwakuwa ulevi si wa pombe tu,Bali chochote ukizidisha kiasi ni ulevi.Na kiasi kinajulikana.Hata kwenye harusi ya Kana Yesu hakuwaambia acheni ulevi Bali aliwaacha wanywe kwa kiasi (burudani).Sote tunafahamu mlevi wa pombe ni mtu wa namna gani (kupepesuka,kupayuka,kutukana,ugomvi n.k) lakini mnywaji wa kawaida huchangamka na huwa sawa.Biblia imeweka kipimo Cha kujua hapo umelewa au hapo umekunywa?
Tatizo ata lugha bado inakuchanganya.
Wewe ni mlevi maana umelewa.
Kwani mlevi ni mtu gani?
Hiv unajua kuwa kuna watu ulewa wakila vyakula flani?
Kwa hiyo kwakuwa Biblia haijaweka wewe umeamua kujiwekea? Kama haijaweka standard maana yake hapakuwa na umuhimu huo,Kwakuwa ulevi si wa pombe tu,Bali chochote ukizidisha kiasi ni ulevi.Na kiasi kinajulikana.Hata kwenye harusi ya Kana Yesu hakuwaambia acheni ulevi Bali aliwaacha wanywe kwa kiasi (burudani).Sote tunafahamu mlevi wa pombe ni mtu wa namna gani (kupepesuka,kupayuka,kutukana,ugomvi n.k) lakini mnywaji wa kawaida huchangamka na huwa sawa.
Kipimo cha ulevi ni matendo yako baada ya kunywa mf. Kutukana,kuiba,kuzusha ugomvi ,Kuwaka tamaa za mwili na matendo mengine maovu.Hicho ndicho kipimo cha ulevisasa kipimo Cha ulevi ni kipiii?
yaani unatakiwa unywe kiasi gani ndo ujue hapa umelewa au umechangamka
Mmoja anazidisha (Kosa) mmoja anakunywa kiasi. Ni watu wawili tofautiKwani mnywaji na mlevi si
Wote wanakunywa POMBE?
Kipimo cha ulevi ni matendo yako baada ya kunywa mf. Kutukana,kuiba,kuzusha ugomvi ,Kuwaka tamaa za mwili na matendo mengine maovu.Hicho ndicho kipimo cha ulevi
Tatizo pombe na sadaka sawa na kibaka na kituo cha polisi!
Ila Imeandikwa!
[emoji116][emoji116]
SIRA 31:24-31
24Mchoyo wa chakula atasemwa kijijini kote,
na maoni yao juu ya uchoyo wake ni kweli.
Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu
25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe,
maana pombe imewaangamiza wengi.
26Tanuri hupima ugumu wa chuma,
na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi.
27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.
Maisha yafaa nini bila pombe?
Imeumbwa iwafurahishe watu.
28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi,
kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.
29Lakini kunywa pombe kupita kiasi,
kunaleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha.
30Ulevi huongeza hasira ya mpumbavu akajiumiza mwenyewe;
humdhoofisha na kumwongezea majeraha.
31Usimkaripie jirani yako kwenye pombe,
wala usimdharau anapofurahia karamu.
Usimwambie neno la kumwonya,
wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni. HII IMEKAA VIZURI SANA
Uliishawai kulewa? Kama tayari utajua kwann ni ngumu kwa mlevj kuingia mbinguni.Kwa hyo unaweza ukawa mlevi na ukaingia mbinguni?
Mmoja anazidisha (Kosa) mmoja anakunywa kiasi. Ni watu wawili tofauti
Uliishawai kulewa? Kama tayari utajua kwann ni ngumu kwa mlevj kuingia mbinguni.
Na pia inawezekana ukaingia maana hakuna anaejua mda anakufa atakuwa kwenye hali gani. Huyo mlevi wenda siku anakufa akawa ajalewa na akatubu madhambi yake akasamehewa akajiweka kwenye nafas nzuri ya kuingia mbingun
Upo sahihiMlevi na mnywaji wote wanakunywa POMBE.ila mlevi ndo anapata dhambi Kama nitakuwa nimekuelewa?
Aya ya 9.
Muwe mnasoma maandiko yenu jamani.View attachment 2066759
Ni dhambiZinaaa ni dhambi au sio dhambi?