Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Siku nikinywa maji ya bombani nikalewa.
Nitakuwa mlevi au mnywaji?
Tatizo ata lugha bado inakuchanganya.
Wewe ni mlevi maana umelewa.
Kwani mlevi ni mtu gani?
Hiv unajua kuwa kuna watu ulewa wakila vyakula flani?
 
sasa kipimo Cha ulevi ni kipiii?
yaani unatakiwa unywe kiasi gani ndo ujue hapa umelewa au umechangamka
Mnywaji (kama hatolewa Bali kuchangamka kiasi kutegemea na uwezo wake kuhimili pombe) Ila kama atalewa basi ni mlevi
 
Biblia imeweka kipimo Cha kujua hapo umelewa au hapo umekunywa?
Kwa hiyo kwakuwa Biblia haijaweka wewe umeamua kujiwekea? Kama haijaweka standard maana yake hapakuwa na umuhimu huo,Kwakuwa ulevi si wa pombe tu,Bali chochote ukizidisha kiasi ni ulevi.Na kiasi kinajulikana.Hata kwenye harusi ya Kana Yesu hakuwaambia acheni ulevi Bali aliwaacha wanywe kwa kiasi (burudani).Sote tunafahamu mlevi wa pombe ni mtu wa namna gani (kupepesuka,kupayuka,kutukana,ugomvi n.k) lakini mnywaji wa kawaida huchangamka na huwa sawa.
 
Aliweka kipimo Cha ulevi kuwa ukifika hapa umekuwa umelewa na ukifika hapa unakuwa mnywaji ni nanii?
Hicho kipimo Cha ulevi ni kipi
Tatizo ata lugha bado inakuchanganya.
Wewe ni mlevi maana umelewa.
Kwani mlevi ni mtu gani?
Hiv unajua kuwa kuna watu ulewa wakila vyakula flani?
 
Kwani mnywaji na mlevi si
Wote wanakunywa POMBE?
Kwa hiyo kwakuwa Biblia haijaweka wewe umeamua kujiwekea? Kama haijaweka standard maana yake hapakuwa na umuhimu huo,Kwakuwa ulevi si wa pombe tu,Bali chochote ukizidisha kiasi ni ulevi.Na kiasi kinajulikana.Hata kwenye harusi ya Kana Yesu hakuwaambia acheni ulevi Bali aliwaacha wanywe kwa kiasi (burudani).Sote tunafahamu mlevi wa pombe ni mtu wa namna gani (kupepesuka,kupayuka,kutukana,ugomvi n.k) lakini mnywaji wa kawaida huchangamka na huwa sawa.
 
sasa kipimo Cha ulevi ni kipiii?
yaani unatakiwa unywe kiasi gani ndo ujue hapa umelewa au umechangamka
Kipimo cha ulevi ni matendo yako baada ya kunywa mf. Kutukana,kuiba,kuzusha ugomvi ,Kuwaka tamaa za mwili na matendo mengine maovu.Hicho ndicho kipimo cha ulevi
 
Mlevi na mnywaji wote wanakunywa POMBE.ila mlevi ndo anapata dhambi Kama nitakuwa nimekuelewa?
Kipimo cha ulevi ni matendo yako baada ya kunywa mf. Kutukana,kuiba,kuzusha ugomvi ,Kuwaka tamaa za mwili na matendo mengine maovu.Hicho ndicho kipimo cha ulevi
 
Tatizo pombe na sadaka sawa na kibaka na kituo cha polisi!

Ila Imeandikwa!
[emoji116][emoji116]
SIRA 31:24-31
24Mchoyo wa chakula atasemwa kijijini kote,
na maoni yao juu ya uchoyo wake ni kweli.
Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu
25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe,
maana pombe imewaangamiza wengi.
26Tanuri hupima ugumu wa chuma,
na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi.
27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.
Maisha yafaa nini bila pombe?
Imeumbwa iwafurahishe watu.
28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi,
kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.
29Lakini kunywa pombe kupita kiasi,
kunaleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha.
30Ulevi huongeza hasira ya mpumbavu akajiumiza mwenyewe;
humdhoofisha na kumwongezea majeraha.
31Usimkaripie jirani yako kwenye pombe,
wala usimdharau anapofurahia karamu.
Usimwambie neno la kumwonya,
wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni. HII IMEKAA VIZURI SANA
 
Kwa hyo unaweza ukawa mlevi na ukaingia mbinguni?
Uliishawai kulewa? Kama tayari utajua kwann ni ngumu kwa mlevj kuingia mbinguni.
Na pia inawezekana ukaingia maana hakuna anaejua mda anakufa atakuwa kwenye hali gani. Huyo mlevi wenda siku anakufa akawa ajalewa na akatubu madhambi yake akasamehewa akajiweka kwenye nafas nzuri ya kuingia mbingun
 
Vipi zinaa ni dhambi au sio dhambi?

Back
Top Bottom