Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

anayekunywa kiasi hafanyi ujinga tofauti na anayekunywa kupitiliza unadhani kwanini kampuni za bia zinakuambia kunywa kistaarabu
 
Kwa hyo hicho kiasi kwenye kufanya mapenzi ukiingiza Mara moja unakuwa umezini au haujazini?
01: Tendo la ndoa ni kwa ajili ya wanandoa.

02: Wanandoa wafanye tendo la ndoa kwa wakati na sehemu muafaka.

03: Tendo la ndoa kwa wana ndoa lisiathiri mambo mengine.

Hicho ndiyo kiasi kwenye tendo la ndoa.
 
Kipimo Cha mtu aonekane amezini ni kipii?
Niingiza Mara moja napataje dhambi na Yule aliyefanya Mara nyingi?
Mbona kwenye POMBE NI tofauti yaani ili mtu apate dhambi anatakiwa alewe wakati wote wamekunywa pombe

Kipimo cha zinaa ni kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa. i.e. kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye hamjafunga naye ndoa.
 
Si mke wangu.
kwanini kwenye dhambi ya kuzini kusiwe Kama kwenye POMBE.
kwanini aliyefanya Mara moja kazini na aliyefanya Mara nyingi amezini?
Hauoni Kama NI uonevu?
Kama ni ndani ya ndoa siyo dhambi. Inakuwa dhambi likifanyika nje ya ndoa.
 
Hao hawayajui vizuri maandiko sisi catholic tunapiga mvinyo bila hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…