Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Walevi ni wale wasio na kiasi. Hata Lugha haujui?Soma aya ya 9 mpaka ya 10View attachment 2067069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walevi ni wale wasio na kiasi. Hata Lugha haujui?Soma aya ya 9 mpaka ya 10View attachment 2067069
ulevi ni dhambi ila kunywa pombe siyo dhambi kuwa muelewaSoma aya ya 9 mpaka ya 10View attachment 2067069
Walevi ni wale wasio na kiasi. Hata Lugha haujui?
ulevi ni dhambi ila kunywa pombe siyo dhambi kuwa muelewa
01: Tendo la ndoa ni kwa ajili ya wanandoa.Kwa hyo hicho kiasi kwenye kufanya mapenzi ukiingiza Mara moja unakuwa umezini au haujazini?
siyo kumtamani mwanamke tu bali chochote kisicho chako hutakiwi kutamaniIla kumtamani mwanamke ni dhambi.
Ila kwenye pombe mpaka ulewe
bora kutulia maana jamaa kama analeta siasa kwenye mambo ya dinjanayekunywa kiasi hafanyi ujinga tofauti na anayekunywa kupitiliza unadhani kwanini kampuni za bia zinakuambia kunywa kistaarabu
Kama ni ndani ya ndoa siyo dhambi. Inakuwa dhambi likifanyika nje ya ndoa.Na nikimchukua mwanamke nikaingiza uume wangu Mara moja nitakuwa nimezini au sijazini?
01: Tendo la ndoa ni kwa ajili ya wanandoa.
02: Wanandoa wafanye tendo la ndoa kwa wakati na sehemu muafaka.
03: Tendo la ndoa kwa wana ndoa lisiathiri mambo mengine.
Hicho ndiyo kiasi kwenye tendo la ndoa.
siyo kumtamani mwanamke tu bali chochote kisicho chako hutakiwi kutamani
Kipimo cha zinaa ni kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa. i.e. kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye hamjafunga naye ndoa.Kipimo Cha mtu aonekane amezini ni kipii?
Niingiza Mara moja napataje dhambi na Yule aliyefanya Mara nyingi?
Mbona kwenye POMBE NI tofauti yaani ili mtu apate dhambi anatakiwa alewe wakati wote wamekunywa pombe
Kama ni ndani ya ndoa siyo dhambi. Inakuwa dhambi likifanyika nje ya ndoa.
elimu aliyofundishwa haimtoi kwenye ujinga bali inampuza mwishowe anabaki kuwa .... mjinga wakutokuelimikabora kutulia maana jamaa kama analeta siasa kwenye mambo ya dinj
Hao hawayajui vizuri maandiko sisi catholic tunapiga mvinyo bila hofuUkisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Nini maana ya kiasi?Si mke wangu.
kwanini kwenye dhambi ya kuzini kusiwe Kama kwenye POMBE.
kwanini aliyefanya Mara moja kazini na aliyefanya Mara nyingi amezini?
Hauoni Kama NI uonevu?
Nini maana ya kiasi?
Huo ni uzushi, hujui maandiko na historia na tamaduni za taifa la IsraelDivai hailevyi ndugu
Wewe unaelewa nini ukisikia neno "kiasi"?Ndo point yangu ilipo
Ni Nani aliyeweka hicho kipimo Cha kiasi?
Katika dhambi hizi 2
Wewe unaelewa nini ukisikia neno "kiasi"?