Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Huyo ndio mjingamimi, sasa hivi kapanda cheo.Watu wamekuwa brainwashed na dini na wazungu ila wewe nadhani wameondoka na akili zote kabisa aisee. Unawezaje kuuliza wapi walisema mkanywe pombe bar? Kwani pombe lazing unywe bar? Kibaya usilewe! Kwa taarifa yako watu wote makini unaowaona duniani wanapiga tubia,tuwaini japo kwa kiasi. Wewe baki na mistari Yako ya kukaririshwa,siku ukipata akili na uelewa utaruri humu kutuambia
atakayebisha aje na hojaPombe sio dhambi.
Ulevi ndio dhambi
Na Ulevi ni
1. Kunywa pombe usiyoruhusiwa na mamlaka, yaani serikali eg. Gongo,
2. Kunywa pombe muda wa kazi.
3. Kunywa pombe kupita kiasi cha nguvu zako.
4. Kunywea pombe bajeti ya jambo lingine kama, ya chakula cha watoto nyumbani, Ada ya mwanafunzi, pesa ya ujenzi, matibabu nk.
Nk.
Na hapo ni sawasawa na Ulafi, unaokatazwa ni Ulafi na sio kula chakula.
Na ulafi unafanana na ulevi kama nilivyoelezea hapo juu.
Ukichona nyama ya mbuzi na kula ukiwa Bar huku watoto wanakula Ugali na Nguru unamefanya Ulafi.
Pombe ni moja ya kazi njema ya Mwenyezi Mungu na haijakatazwa mahali popote katika Maandiko ya Biblia.
Lakini inatakiwa inywewe kwa kiasi na kwa wakati wake kwa lengo la kujiburudisha.
Furaha ya kwenye karamu ya Pombe yazidi furaha zote hapa duniani.
Kweli kabisa Mkuu wanashindwa kutofautisha kati ya ulevi ambao umekatazwa kwenye biblia na kunywa pombe kam kiburudisho,,, pombe imeruhusiwa lakin ulevi nd umekatazwa wakielewa hapo wataishi kwa amani na kutoichukia pombeWalokole wanashindwa kuelewa! Ukila chakula mpaka ukavimbiwa ni dhambi! Pombe ni chakula ila usizidishe. Kama kunywa pombe ni dhambi, basi huo ni unafiki. Yesu alibariki Ile divai na alionja, akawaambia mambo safi, kunyweni. Wewe ni nani upingane na Yesu! ? Walokole acheni hizo!
😂😂😂😂😂😂🙌🙌Kwani Yesu ni Mkorinto? Barua ya wakorinto inamhusu mini Yesu.
Afu nani alikudanganya Paulo ndo mwenye mamlaka ya kusema nani na nani ndio wataenda mbinguni? Paulo ni kama Makonda na watu wake wa Dar alipowaambia wasiingie town bila kuoga
Fuata maagizo ya Mungu sio ya binadamu... EBOO
Unanipotezea muda wa kupiga ulabu
Babu@aspirin umeongea kiume, kikristu na kihekima, atakayesikia na asikie na asiyesikia amfaye Yakobo mgalilaya pekee aliyomuona mke wa YesuKwani Yesu ni Mkorinto? Barua ya wakorinto inamhusu mini Yesu.
Afu nani alikudanganya Paulo ndo mwenye mamlaka ya kusema nani na nani ndio wataenda mbinguni? Paulo ni kama Makonda na watu wake wa Dar alipowaambia wasiingie town bila kuoga
Fuata maagizo ya Mungu sio ya binadamu... EBOO
Unanipotezea muda wa kupiga ulabu
Ukiondoa kifungu hicho,pia kuna neno linasema "kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi,na sio kimuingiacho".
Tatizo dini zetu ni mapokeo kutoka Kwa wazungu,alafu sisi tunaamini tunaijua(dini/biblia) kuliko wao waliotuletea.
Ndio maana leo makanisa mengi yanahubiri mafanikio,fungu la kumi nk.
Imani na upendo vimewekwa Kandi kama sio msingi wa ukristo,yaani kumjua,kumwabudu na kumtumikia MUNGU sio jambo la msingi.
Mimi naamini kuna mahali tumekengeuka.
Usiseme kutoka kwa wazungu pekee, sema na waarabu na wachina pamoja na wahindi maana kuna dini zimeletwa Hadi na waturuki (Orthodox) ambao wapo all over Russia, Bosnia etc.Ukiondoa kifungu hicho,pia kuna neno linasema "kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi,na sio kimuingiacho".
Tatizo dini zetu ni mapokeo kutoka Kwa wazungu,alafu sisi tunaamini tunaijua(dini/biblia) kuliko wao waliotuletea.
Ndio maana leo makanisa mengi yanahubiri mafanikio,fungu la kumi nk.
Imani na upendo vimewekwa Kandi kama sio msingi wa ukristo,yaani kumjua,kumwabudu na kumtumikia MUNGU sio jambo la msingi.
Mimi naamini kuna mahali tumekengeuka.
Si hicho tu mkuu, kuna makorokoro mengi tu hayana logic kabisa yaniHuko kote mi sina shida nako
Shida iko kwenye Mungu kuupenda ulimwengu akamtuma mwanae mpendwa aje duniani afe ili kutuokoa na dhambi, hivi kilishindikana nini Mungu kumuua shetani ili kuokoa gharama, usumbufu na mateso kwa mwanae mpendwa?
This story need to be revised
Kuna baadhi ya maandiko yamekubali2.
Maandiko yapo wazi.View attachment 2066765
Mgalilaya YAKOBO kapiga goti na kuomba msamaha kwa BIKIRA Hangaya: NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANABabu@aspirin umeongea kiume, kikristu na kihekima, atakayesikia na asikie na asiyesikia amfaye Yakobo mgalilaya pekee aliyomuona mke wa Yesu
Bikira Hangaya 😂😂😂😂😂, tatizo linalomcost ni uropokaji, sielewi alipokuwa kijana alikuwa na kiherehere kiasi gani na atakuwa alikuwa mzee wa pumba sana.Mgalilaya YAKOBO kapiga goti na kuomba msamaha kwa BIKIRA Hangaya: NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANA
Mwanzo 9Divai hailevyi ndugu
Kitu nimejifunza kwa wagogo ni kimoja. KUOMBA ni jadi yao.Bikira Hangaya 😂😂😂😂😂, tatizo linalomcost ni uropokaji, sielewi alipokuwa kijana alikuwa na kiherehere kiasi gani na atakuwa alikuwa mzee wa pumba sana.
Haya mambo hutegemei kuyasikia yamefanywa na mtu mzima Kama yeye, bahati mbaya ni spika wa Bunge la nchi. Spika anadharauliwa Hadi na vijana wa form two maana vituko anavyofanya anajiaibisha mwenyewe.
Nadhani aliyesema viongozi wawe wanapimwa afya ya akili kabla ya kupewa nafasi za kuongoza alikuwa sahihi sana maana kwa haya maboko anayotoa spika toka amekalia Ile ofisi inatosha kusema huyu mtu hafai kuwa spika achilia mbali ubunge.
Watu wa Kongwa naona Kuna shida kidogo kule kwao, haiwezekani huyu mtu ndio wameona anawafaa miaka zaidi ya 20 sasa na ukiacha akili yake kule jimboni ni aibu kubwa sana kusema ndio anakotoka spika na amekuwa mbunge over 20 years.
Afu mabinti zake wakaukalia mshedede wake akiwa kalea. Mpaka wakapata mimba daadekiMwanzo 9
20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Mungu hataki umpe jirani yako kileo ukiwa na Nia alewe na kuutazama Uchi wakeHabakuki 2
15 Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!
Sidhani kama divai uliyonukuu ilikuwa na kileo. Kumbuka kuwa divai ya Yesu ilikuwa ya awamu ya pili baada ya ile ya kwanza kuisha.
Ukiondoa kifungu hicho,pia kuna neno linasema "kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi,na sio kimuingiacho".
Tatizo dini zetu ni mapokeo kutoka Kwa wazungu,alafu sisi tunaamini tunaijua(dini/biblia) kuliko wao waliotuletea.
Ndio maana leo makanisa mengi yanahubiri mafanikio,fungu la kumi nk.
Imani na upendo vimewekwa Kandi kama sio msingi wa ukristo,yaani kumjua,kumwabudu na kumtumikia MUNGU sio jambo la msingi.
Mimi naamini kuna mahali tumekengeuka.
Unajua divai safi... Yesu alitengeneza divai safinhakutengenez pombe unajuadivai inatengenezwa na zabibu sasa zabibu ikichacha ndio inakuwa pombe yani vimeleo vya pkmbe vinatokea divai ikichacha sasa ndio mana biblia ilikazia divai safi kwa maana haikuchacha na haikuwa kilevi biblia imekataza pombe mistari mingi ya kutosha usilewe kwa mvinyo maana kuna ufisadi ndani yake efeso 5:18Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?[emoji1634][emoji1635][emoji482][emoji481][emoji485]
Nakupa aya kutoka kwenye Biblia ya KiingerezaUnajua divai safi... Yesu alitengeneza divai safinhakutengenez pombe unajuadivai inatengenezwa na zabibu sasa zabibu ikichacha ndio inakuwa pombe yani vimeleo vya pkmbe vinatokea divai ikichacha sasa ndio mana biblia ilikazia divai safi kwa maana haikuchacha na haikuwa kilevi biblia imekataza pombe mistari mingi ya kutosha usilewe kwa mvinyo maana kuna ufisadi ndani yake efeso 5:18
Unajua divai safi... Yesu alitengeneza divai safinhakutengenez pombe unajuadivai inatengenezwa na zabibu sasa zabibu ikichacha ndio inakuwa pombe yani vimeleo vya pkmbe vinatokea divai ikichacha sasa ndio mana biblia ilikazia divai safi kwa maana haikuchacha na haikuwa kilevi biblia imekataza pombe mistari mingi ya kutosha usilewe kwa mvinyo maana kuna ufisadi ndani yake efeso 5:18