Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Watu wamekuwa brainwashed na dini na wazungu ila wewe nadhani wameondoka na akili zote kabisa aisee. Unawezaje kuuliza wapi walisema mkanywe pombe bar? Kwani pombe lazing unywe bar? Kibaya usilewe! Kwa taarifa yako watu wote makini unaowaona duniani wanapiga tubia,tuwaini japo kwa kiasi. Wewe baki na mistari Yako ya kukaririshwa,siku ukipata akili na uelewa utaruri humu kutuambia
Huyo ndio mjingamimi, sasa hivi kapanda cheo.
Amekuwa mpumbavu kabisa.
 
Pombe sio dhambi.
Ulevi ndio dhambi

Na Ulevi ni
1. Kunywa pombe usiyoruhusiwa na mamlaka, yaani serikali eg. Gongo,

2. Kunywa pombe muda wa kazi.

3. Kunywa pombe kupita kiasi cha nguvu zako.

4. Kunywea pombe bajeti ya jambo lingine kama, ya chakula cha watoto nyumbani, Ada ya mwanafunzi, pesa ya ujenzi, matibabu nk.
Nk.

Na hapo ni sawasawa na Ulafi, unaokatazwa ni Ulafi na sio kula chakula.
Na ulafi unafanana na ulevi kama nilivyoelezea hapo juu.

Ukichona nyama ya mbuzi na kula ukiwa Bar huku watoto wanakula Ugali na Nguru unamefanya Ulafi.

Pombe ni moja ya kazi njema ya Mwenyezi Mungu na haijakatazwa mahali popote katika Maandiko ya Biblia.
Lakini inatakiwa inywewe kwa kiasi na kwa wakati wake kwa lengo la kujiburudisha.

Furaha ya kwenye karamu ya Pombe yazidi furaha zote hapa duniani.
atakayebisha aje na hoja
 
Walokole wanashindwa kuelewa! Ukila chakula mpaka ukavimbiwa ni dhambi! Pombe ni chakula ila usizidishe. Kama kunywa pombe ni dhambi, basi huo ni unafiki. Yesu alibariki Ile divai na alionja, akawaambia mambo safi, kunyweni. Wewe ni nani upingane na Yesu! ? Walokole acheni hizo!
Kweli kabisa Mkuu wanashindwa kutofautisha kati ya ulevi ambao umekatazwa kwenye biblia na kunywa pombe kam kiburudisho,,, pombe imeruhusiwa lakin ulevi nd umekatazwa wakielewa hapo wataishi kwa amani na kutoichukia pombe
 
Kwani Yesu ni Mkorinto? Barua ya wakorinto inamhusu mini Yesu.

Afu nani alikudanganya Paulo ndo mwenye mamlaka ya kusema nani na nani ndio wataenda mbinguni? Paulo ni kama Makonda na watu wake wa Dar alipowaambia wasiingie town bila kuoga

Fuata maagizo ya Mungu sio ya binadamu... EBOO

Unanipotezea muda wa kupiga ulabu
😂😂😂😂😂😂🙌🙌
 
Babu@aspirin umeongea kiume, kikristu na kihekima, atakayesikia na asikie na asiyesikia amfaye Yakobo mgalilaya pekee aliyomuona mke wa Yesu
 
Ukiondoa kifungu hicho,pia kuna neno linasema "kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi,na sio kimuingiacho".

Tatizo dini zetu ni mapokeo kutoka Kwa wazungu,alafu sisi tunaamini tunaijua(dini/biblia) kuliko wao waliotuletea.

Ndio maana leo makanisa mengi yanahubiri mafanikio,fungu la kumi nk.

Imani na upendo vimewekwa Kandi kama sio msingi wa ukristo,yaani kumjua,kumwabudu na kumtumikia MUNGU sio jambo la msingi.

Mimi naamini kuna mahali tumekengeuka.

Kimtokacho mtu ni maneno na si chakula.
 
Usiseme kutoka kwa wazungu pekee, sema na waarabu na wachina pamoja na wahindi maana kuna dini zimeletwa Hadi na waturuki (Orthodox) ambao wapo all over Russia, Bosnia etc.

Pia kuna Buddha na wengine wote
 
Huko kote mi sina shida nako
Shida iko kwenye Mungu kuupenda ulimwengu akamtuma mwanae mpendwa aje duniani afe ili kutuokoa na dhambi, hivi kilishindikana nini Mungu kumuua shetani ili kuokoa gharama, usumbufu na mateso kwa mwanae mpendwa?

This story need to be revised
Si hicho tu mkuu, kuna makorokoro mengi tu hayana logic kabisa yani
 
Babu@aspirin umeongea kiume, kikristu na kihekima, atakayesikia na asikie na asiyesikia amfaye Yakobo mgalilaya pekee aliyomuona mke wa Yesu
Mgalilaya YAKOBO kapiga goti na kuomba msamaha kwa BIKIRA Hangaya: NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANA
 
Mgalilaya YAKOBO kapiga goti na kuomba msamaha kwa BIKIRA Hangaya: NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANA
Bikira Hangaya 😂😂😂😂😂, tatizo linalomcost ni uropokaji, sielewi alipokuwa kijana alikuwa na kiherehere kiasi gani na atakuwa alikuwa mzee wa pumba sana.

Haya mambo hutegemei kuyasikia yamefanywa na mtu mzima Kama yeye, bahati mbaya ni spika wa Bunge la nchi. Spika anadharauliwa Hadi na vijana wa form two maana vituko anavyofanya anajiaibisha mwenyewe.

Nadhani aliyesema viongozi wawe wanapimwa afya ya akili kabla ya kupewa nafasi za kuongoza alikuwa sahihi sana maana kwa haya maboko anayotoa spika toka amekalia Ile ofisi inatosha kusema huyu mtu hafai kuwa spika achilia mbali ubunge.

Watu wa Kongwa naona Kuna shida kidogo kule kwao, haiwezekani huyu mtu ndio wameona anawafaa miaka zaidi ya 20 sasa na ukiacha akili yake kule jimboni ni aibu kubwa sana kusema ndio anakotoka spika na amekuwa mbunge over 20 years.
 
Kitu nimejifunza kwa wagogo ni kimoja. KUOMBA ni jadi yao.

Asipoomba hela anaomba MSAMAHA.

Kajieleza weeeee.... hakuna sehemu aliyosema kakosea. Sasa kama hajakosea bali watu walimdukua, msamaha kaomba wa nini? Si kasema hajafanya kosa ila wataalam wa mtandao wamekata clip sijui wakachomeka maneno sijui.... sasa hii "MEA CULPA, MEA CULPA MEA MAXIMA" imekujaje?

JOBO hoyeee.... mitano tena kwake
 
Mwanzo 9
20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;

21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Afu mabinti zake wakaukalia mshedede wake akiwa kalea. Mpaka wakapata mimba daadeki
 
Habakuki 2
15 Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!

Sidhani kama divai uliyonukuu ilikuwa na kileo. Kumbuka kuwa divai ya Yesu ilikuwa ya awamu ya pili baada ya ile ya kwanza kuisha.
Mungu hataki umpe jirani yako kileo ukiwa na Nia alewe na kuutazama Uchi wake
 
Ukiondoa kifungu hicho,pia kuna neno linasema "kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi,na sio kimuingiacho".

Tatizo dini zetu ni mapokeo kutoka Kwa wazungu,alafu sisi tunaamini tunaijua(dini/biblia) kuliko wao waliotuletea.

Ndio maana leo makanisa mengi yanahubiri mafanikio,fungu la kumi nk.

Imani na upendo vimewekwa Kandi kama sio msingi wa ukristo,yaani kumjua,kumwabudu na kumtumikia MUNGU sio jambo la msingi.

Mimi naamini kuna mahali tumekengeuka.

Kuna makatazo mengi ya pombe sababu watu wakunywa na kupitiliza na kufanya uovu. Na ni ngumu kuwawekea kipimo kisicho na madhara

Kila kitu kinachotumika kupita kiasi huleta madhara

Ulevi ni mbaya
 
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.

Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.

Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.

Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?[emoji1634][emoji1635][emoji482][emoji481][emoji485]
Unajua divai safi... Yesu alitengeneza divai safinhakutengenez pombe unajuadivai inatengenezwa na zabibu sasa zabibu ikichacha ndio inakuwa pombe yani vimeleo vya pkmbe vinatokea divai ikichacha sasa ndio mana biblia ilikazia divai safi kwa maana haikuchacha na haikuwa kilevi biblia imekataza pombe mistari mingi ya kutosha usilewe kwa mvinyo maana kuna ufisadi ndani yake efeso 5:18
 
Nakupa aya kutoka kwenye Biblia ya Kiingereza
 
Unajua divai safi... Yesu alitengeneza divai safinhakutengenez pombe unajuadivai inatengenezwa na zabibu sasa zabibu ikichacha ndio inakuwa pombe yani vimeleo vya pkmbe vinatokea divai ikichacha sasa ndio mana biblia ilikazia divai safi kwa maana haikuchacha na haikuwa kilevi biblia imekataza pombe mistari mingi ya kutosha usilewe kwa mvinyo maana kuna ufisadi ndani yake efeso 5:18

John 2
New International Version

Jesus Changes Water Into Wine​

2 On the third day a wedding took place at Cana in Galilee.(A) Jesus’ mother(B) was there, 2 and Jesus and his disciples had also been invited to the wedding. 3 When the wine was gone, Jesus’ mother said to him, “They have no more wine.”
4 “Woman,[a](C) why do you involve me?”(D) Jesus replied. “My hour(E) has not yet come.”
5 His mother said to the servants, “Do whatever he tells you.”(F)
6 Nearby stood six stone water jars, the kind used by the Jews for ceremonial washing,(G) each holding from twenty to thirty gallons.[b]
7 Jesus said to the servants, “Fill the jars with water”; so they filled them to the brim.
8 Then he told them, “Now draw some out and take it to the master of the banquet.”
They did so, 9 and the master of the banquet tasted the water that had been turned into wine.(H) He did not realize where it had come from, though the servants who had drawn the water knew. Then he called the bridegroom aside 10 and said, “Everyone brings out the choice wine first and then the cheaper wine after the guests have had too much to drink; but you have saved the best till now.”
11 What Jesus did here in Cana of Galilee was the first of the signs(I) through which he revealed his glory;(J) and his disciples believed in him.(K)
12 After this he went down to Capernaum(L) with his mother(M) and brothers(N) and his disciples. There they stayed for a few days.
 
Unajua divai safi... Yesu alitengeneza divai safinhakutengenez pombe unajuadivai inatengenezwa na zabibu sasa zabibu ikichacha ndio inakuwa pombe yani vimeleo vya pkmbe vinatokea divai ikichacha sasa ndio mana biblia ilikazia divai safi kwa maana haikuchacha na haikuwa kilevi biblia imekataza pombe mistari mingi ya kutosha usilewe kwa mvinyo maana kuna ufisadi ndani yake efeso 5:18

John 2
King James Version

2 And the third day there was a marriage in Cana of Galilee; and the mother of Jesus was there:
2 And both Jesus was called, and his disciples, to the marriage.
3 And when they wanted wine, the mother of Jesus saith unto him, They have no wine.
4 Jesus saith unto her, Woman, what have I to do with thee? mine hour is not yet come.
5 His mother saith unto the servants, Whatsoever he saith unto you, do it.
6 And there were set there six waterpots of stone, after the manner of the purifying of the Jews, containing two or three firkins apiece.
7 Jesus saith unto them, Fill the waterpots with water. And they filled them up to the brim.
8 And he saith unto them, Draw out now, and bear unto the governor of the feast. And they bare it.
9 When the ruler of the feast had tasted the water that was made wine, and knew not whence it was: (but the servants which drew the water knew😉 the governor of the feast called the bridegroom,
10 And saith unto him, Every man at the beginning doth set forth good wine; and when men have well drunk, then that which is worse: but thou hast kept the good wine until now.
11 This beginning of miracles did Jesus in Cana of Galilee, and manifested forth his glory; and his disciples believed on him.
12 After this he went down to Capernaum, he, and his mother, and his brethren, and his disciples: and they continued there not many days.
 
Back
Top Bottom