Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Wewe unasemaje kwa uthibitisho wako ?Hapa nimekuquote umeongea Facts. Kwamba zipo wine zenye kilevi (Alcoholic) na zisizo na kilevi (Non Alcoholic), Sasa turudi kwenye mada Je kuna mwenye uthibitisho kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua ni Pombe/Divai yenye Alcohol?
Ni mimea ya Mungu na ina matumizi yake.Bange, mirungi ni mimea ya Mungu
Uthibitisho niliokuomba unipe, nakukumbusha bado haujanipa Mkuu mpaka muda huu. Uniambie kwanza uthibitisho niliokuomba.Wewe unasemaje kwa uthibitisho wako ?
Uthibitisho upi tena.Uthibitisho niliokuomba unipe, nakukumbusha bado haujanipa Mkuu mpaka muda huu. Uniambie kwanza uthibitisho niliokuomba.
Uthibitisho niliokuomba uutoe (Kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua ni Pombe (Alcoholic), nasikitika kusema mpaka sasa haujautoa. Je niendelee kusubiri huo uthibitisho? Au nihitimishe kwamba umeshindwa kuthibitisha?Uthibitisho upi tena.
Mungu ndani ya Biblia hajakataza kutumia kilevi.
Isipokuwa kwa viongozi wa dini.
Kwani ulisikia ile Harusi ilikuwa ya Viongozi wa dini ?
Swali lako halina mantiki.
Harusi zote za Wayahudi na Wakristo hadi leo kinywaji kikuu ni pombe zenye vilevi.
Pombe imekatazwa kwenye Qurani yenu hapa duniani.
Ila Peponi kwenu mtaruhusiwa kunywa.
Ni kinywaji kitakatifu kwenu kitanywewa Peponi kwenu tu.
Sisi tunakinywa hapa hapa duniani.
We kwani shida yako ninini hasaUthibitisho niliokuomba uutoe (Kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua ni Pombe (Alcoholic), nasikitika kusema mpaka sasa haujautoa. Je niendelee kusubiri huo uthibitisho? Au nihitimishe kwamba umeshindwa kuthibitisha?
Bado unakuja na uvumi (Speculation) mwingine. Je nikikuomba pia unipe uthibitisho wa huu uvimi (Speculation) mpya ulioutoa kwenye bandiko lako hili utaweza kunipa?
Bado unaruka kutoa ushahidi. Wewe ambae umesema Bwana Yesu alikunywa Divai yenye kilevi, Thibitisha kama Divai aliyokunywa ilikua na kilevi (Alcohol)We kwani shida yako ninini hasa
Ni kilevi au juice ?
Kwa taarifa yako Yesu pia alikuwa anakunywa hiyo divai ya kilevi kwanye kalam maalum.
Hadi wakamzushia Ulevi.
Mathayo 11:19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.
Kama huli chakula huwezi kuambiwa ni mlafi.
Kama unao ushahidi kuwa hiyo divai haikuwa na kilevi uuweke hapa.
Kama huna acha kuuliza uliza vitu kwa ajiri ya ubishi.
We utakuwa Msabato tu maana ni mbishi sanaBado unaruka kutoa ushahidi. Wewe ambae umesema Bwana Yesu alikunywa Divai yenye kilevi, Thibitisha kama Divai aliyokunywa ilikua na kilevi (Alcohol)
Kwenye aliko ulilolitoa,
MATHAYO 11:19
Unaweza kunionesha mstari ambao Bwana Yesu amesema amekunywa divai yenye kilevi?
NakaziaTutafutie na mstari wa bangi hatutaki mchezo kabisa haya mambo lazima yaeleweke.
Divai isiyo na kilevi ipoje? Nitajie mbili tatu tunazozijuaBado unaruka kutoa ushahidi. Wewe ambae umesema Bwana Yesu alikunywa Divai yenye kilevi, Thibitisha kama Divai aliyokunywa ilikua na kilevi (Alcohol)
Kwenye aliko ulilolitoa,
MATHAYO 11:19
Unaweza kunionesha mstari ambao Bwana Yesu amesema amekunywa divai yenye kilevi?
Mkuu, hapa si suala la Ubishi, mimi nimekuomba unithibitishie kuwa Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi, mbona bado unakwepa kuutoa huo uthibitisho wa Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi?We utakuwa Msabato tu maana ni mbishi sana
Sisi Roman Cathoric tunatumia divai yenye kilevi
Kama Yesu alitengeneza divai isiyo kuwa na kilevi thibitisha.
Hivi anaye kunywa soda ya Mirinda kama wewe, anawezaje kuambiwa ni mlevi ?
Ili divai iwe nzuri ni lazima iive, ikiiva usifanye mchezo na nduki lakeUna uthibitisho gani hiyo Divai ilikua na Kilevi (Alcohol)?
Kwanza unafahamu neno Kilevi ni nini?Divai isiyo na kilevi ipoje? Nitajie mbili tatu tunazozijua
Hahahaha Mkuu, unaposema kuiva unamaanisha nini?Ili divai iwe nzuri ni lazima iive, ikiiva usifanye mchezo na nduki lake
Nakazia.. ndo maana zabur fulani husema divai huufanya moyo wa mwanadamu ushangilie..Pombe sio dhambi.
Ulevi ndio dhambi
Na Ulevi ni
1. Kunywa pombe usiyoruhusiwa na mamlaka, yaani serikali eg. Gongo,
2. Kunywa pombe muda wa kazi.
3. Kunywa pombe kupita kiasi cha nguvu zako.
4. Kunywea pombe bajeti ya jambo lingine kama, ya chakula cha watoto nyumbani, Ada ya mwanafunzi, pesa ya ujenzi, matibabu nk.
Nk.
Na hapo ni sawasawa na Ulafi, unaokatazwa ni Ulafi na sio kula chakula.
Na ulafi unafanana na ulevi kama nilivyoelezea hapo juu.
Ukichona nyama ya mbuzi na kula ukiwa Bar huku watoto wanakula Ugali na Nguru unamefanya Ulafi.
Pombe ni moja ya kazi njema ya Mwenyezi Mungu na haijakatazwa mahali popote katika Maandiko ya Biblia.
Lakini inatakiw
Afu hizi amri walikuwa wanapewa wana wa Israel na sio mataifa ...Aya ya 9.
Muwe mnasoma maandiko yenu jamani.View attachment 2066759
MUUJIZA WA KWANZA ALIOUFANYA YESU NI KUONGEA AKIWA KICHANGA AMETOKA KUZALIWA....Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Unaweza kunionyesha andiko LOLOTE linalotaja POMBE? Walevi na walafi wa pombe hujaribu kuyapindua maandiko kwa kueneza uongo. Haya, lete aya yenye neno pombe ama alcohol.Pombe sio dhambi.
Ulevi ndio dhambi
Na Ulevi ni
1. Kunywa pombe usiyoruhusiwa na mamlaka, yaani serikali eg. Gongo,
2. Kunywa pombe muda wa kazi.
3. Kunywa pombe kupita kiasi cha nguvu zako.
4. Kunywea pombe bajeti ya jambo lingine kama, ya chakula cha watoto nyumbani, Ada ya mwanafunzi, pesa ya ujenzi, matibabu nk.
Nk.
Na hapo ni sawasawa na Ulafi, unaokatazwa ni Ulafi na sio kula chakula.
Na ulafi unafanana na ulevi kama nilivyoelezea hapo juu.
Ukichona nyama ya mbuzi na kula ukiwa Bar huku watoto wanakula Ugali na Nguru unamefanya Ulafi.
Pombe ni moja ya kazi njema ya Mwenyezi Mungu na haijakatazwa mahali popote katika Maandiko ya Biblia.
Lakini inatakiwa inywewe kwa kiasi na kwa wakati wake kwa lengo la kujiburudisha.
Furaha ya kwenye karamu ya Pombe yazidi furaha zote hapa duniani.