Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Hapa nimekuquote umeongea Facts. Kwamba zipo wine zenye kilevi (Alcoholic) na zisizo na kilevi (Non Alcoholic), Sasa turudi kwenye mada Je kuna mwenye uthibitisho kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua ni Pombe/Divai yenye Alcohol?
Wewe unasemaje kwa uthibitisho wako ?
 
Marko 7

14Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe.

15Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu kutoka nje kinachoweza kumtia mtu unajisi. Lakini kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia mtu unajisi.”

16Mwenye masikio na asikie!

17Alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano.

18Naye akawaambia, “Je, hata nyinyi hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu kutoka nje, hakiwezi kumtia unajisi,

19kwa maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?” (Kwa kusema hivyo, Yesu alihalalisha vyakula vyote.)

20Akaendelea kusema, “Kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia unajisi.

21Maana kutoka ndani, moyoni mwa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji,

22uzinzi, uchoyo, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, kashfa, kiburi na upumbavu. 23Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.

TUMSIFU YESU KRISTO
 
Bange, mirungi ni mimea ya Mungu
Ni mimea ya Mungu na ina matumizi yake.
Mungu alitupa akili, ya kupima wema na ubaya wa kitu.
Kwa mfano tunao watu wanaojikita katika kila fani ili kuishi kwa usalama.

Madaktari wameipima bangi na kuridhika kuwa haifai kuvutwa na binadamu kama sigara, ina madhara.

Ila inafaa kufanyia mambo mengine.
mfano, kutengenezea dawa za wanyama.
 
Uthibitisho niliokuomba unipe, nakukumbusha bado haujanipa Mkuu mpaka muda huu. Uniambie kwanza uthibitisho niliokuomba.
Uthibitisho upi tena.
Mungu ndani ya Biblia hajakataza kutumia kilevi.
Isipokuwa kwa viongozi wa dini.

Kwani ulisikia ile Harusi ilikuwa ya Viongozi wa dini ?

Swali lako halina mantiki.

Harusi zote za Wayahudi na Wakristo hadi leo kinywaji kikuu ni pombe zenye vilevi.

Pombe imekatazwa kwenye Qurani yenu hapa duniani.
Ila Peponi kwenu mtaruhusiwa kunywa.
Ni kinywaji kitakatifu kwenu kitanywewa Peponi kwenu tu.

Sisi tunakinywa hapa hapa duniani.
 
Uthibitisho niliokuomba uutoe (Kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua ni Pombe (Alcoholic), nasikitika kusema mpaka sasa haujautoa. Je niendelee kusubiri huo uthibitisho? Au nihitimishe kwamba umeshindwa kuthibitisha?

Bado unakuja na uvumi (Speculation) mwingine. Je nikikuomba pia unipe uthibitisho wa huu uvimi (Speculation) mpya ulioutoa kwenye bandiko lako hili utaweza kunipa?
 
We kwani shida yako ninini hasa
Ni kilevi au juice ?

Kwa taarifa yako Yesu pia alikuwa anakunywa hiyo divai ya kilevi kwanye kalam maalum.
Hadi wakamzushia Ulevi.

Mathayo 11:19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.

Kama huli chakula huwezi kuambiwa ni mlafi.

Kama unao ushahidi kuwa hiyo divai haikuwa na kilevi uuweke hapa.
Kama huna acha kuuliza uliza vitu kwa ajiri ya ubishi.
 
Bado unaruka kutoa ushahidi. Wewe ambae umesema Bwana Yesu alikunywa Divai yenye kilevi, Thibitisha kama Divai aliyokunywa ilikua na kilevi (Alcohol)

Kwenye aliko ulilolitoa,

MATHAYO 11:19

Unaweza kunionesha mstari ambao Bwana Yesu amesema amekunywa divai yenye kilevi?
 
We utakuwa Msabato tu maana ni mbishi sana
Sisi Roman Cathoric tunatumia divai yenye kilevi
Kama Yesu alitengeneza divai isiyo kuwa na kilevi thibitisha.

Hivi anaye kunywa soda ya Mirinda kama wewe, anawezaje kuambiwa ni mlevi ?
 
Divai isiyo na kilevi ipoje? Nitajie mbili tatu tunazozijua
 
We utakuwa Msabato tu maana ni mbishi sana
Sisi Roman Cathoric tunatumia divai yenye kilevi
Kama Yesu alitengeneza divai isiyo kuwa na kilevi thibitisha.

Hivi anaye kunywa soda ya Mirinda kama wewe, anawezaje kuambiwa ni mlevi ?
Mkuu, hapa si suala la Ubishi, mimi nimekuomba unithibitishie kuwa Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi, mbona bado unakwepa kuutoa huo uthibitisho wa Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi?

Kama mpaka sasa haujatoa uthibitisho, unapata wapi confidence ya kusema Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi?
 
Pombe sio dhambi.
Ulevi ndio dhambi

Na Ulevi ni
1. Kunywa pombe usiyoruhusiwa na mamlaka, yaani serikali eg. Gongo,

2. Kunywa pombe muda wa kazi.

3. Kunywa pombe kupita kiasi cha nguvu zako.

4. Kunywea pombe bajeti ya jambo lingine kama, ya chakula cha watoto nyumbani, Ada ya mwanafunzi, pesa ya ujenzi, matibabu nk.
Nk.

Na hapo ni sawasawa na Ulafi, unaokatazwa ni Ulafi na sio kula chakula.
Na ulafi unafanana na ulevi kama nilivyoelezea hapo juu.

Ukichona nyama ya mbuzi na kula ukiwa Bar huku watoto wanakula Ugali na Nguru unamefanya Ulafi.

Pombe ni moja ya kazi njema ya Mwenyezi Mungu na haijakatazwa mahali popote katika Maandiko ya Biblia.
Lakini inatakiw
Nakazia.. ndo maana zabur fulani husema divai huufanya moyo wa mwanadamu ushangilie..
 
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.

Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.

Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.

Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
MUUJIZA WA KWANZA ALIOUFANYA YESU NI KUONGEA AKIWA KICHANGA AMETOKA KUZALIWA....
 
Pombe sio dhambi.
Ulevi ndio dhambi

Na Ulevi ni
1. Kunywa pombe usiyoruhusiwa na mamlaka, yaani serikali eg. Gongo,

2. Kunywa pombe muda wa kazi.

3. Kunywa pombe kupita kiasi cha nguvu zako.

4. Kunywea pombe bajeti ya jambo lingine kama, ya chakula cha watoto nyumbani, Ada ya mwanafunzi, pesa ya ujenzi, matibabu nk.
Nk.

Na hapo ni sawasawa na Ulafi, unaokatazwa ni Ulafi na sio kula chakula.
Na ulafi unafanana na ulevi kama nilivyoelezea hapo juu.

Ukichona nyama ya mbuzi na kula ukiwa Bar huku watoto wanakula Ugali na Nguru unamefanya Ulafi.

Pombe ni moja ya kazi njema ya Mwenyezi Mungu na haijakatazwa mahali popote katika Maandiko ya Biblia.
Lakini inatakiwa inywewe kwa kiasi na kwa wakati wake kwa lengo la kujiburudisha.

Furaha ya kwenye karamu ya Pombe yazidi furaha zote hapa duniani.
Unaweza kunionyesha andiko LOLOTE linalotaja POMBE? Walevi na walafi wa pombe hujaribu kuyapindua maandiko kwa kueneza uongo. Haya, lete aya yenye neno pombe ama alcohol.
 
Back
Top Bottom