Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
kwani YESU Kuna sehemu amesema amekunywa pombe?
Tuanzie hapo
Usitafute neno kwa neno, elewa kwa context. Au hukusoma literature wewe?kwani YESU Kuna sehemu amesema amekunywa pombe?
Tuanzie hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani YESU Kuna sehemu amesema amekunywa pombe?
Tuanzie hapo
Usitafute neno kwa neno, elewa kwa context. Au hukusoma literature wewe?kwani YESU Kuna sehemu amesema amekunywa pombe?
Tuanzie hapo
We unaeleweshwa sana maana ya ulevi.Soma aya ya 9 mpaka ya 10View attachment 2066851
kwani YESU Kuna sehemu amesema amekunywa pombe?
Tuanzie hapo
hapana bwana hakutengeneza pombe ile ilikuwa juice ya maji ya mizabibu,pombe ni haramu na ni dhambitusikatae kwanza ukweli kwamba alitengeneza pombe,divai inalevya kwahiyo ni pombe.
sasa tetea hoja kwanini alitengeneza siyo kutaka kusema divai siyo pombe
mathayo 11:7-19
katikati humo utakuta hayo maneno
"Kwa maana Yohane alikuja, akafunga na wala hakunywa divai, nao wakasema: ‘Amepagawa na pepo’. Mwana wa Mtu akaja, anakula na kunywa, nao wakasema: ‘Mwangalieni huyu, mlafi na mlevi, rafiki yao watozaushuru na wenye dhambi!’ '
John 2
New International Version
Jesus Changes Water Into Wine
2 On the third day a wedding took place at Cana in Galilee.(A) Jesus’ mother(B) was there, 2 and Jesus and his disciples had also been invited to the wedding. 3 When the wine was gone, Jesus’ mother said to him, “They have no more wine.”
4 “Woman,[a](C) why do you involve me?”(D) Jesus replied. “My hour(E) has not yet come.”
5 His mother said to the servants, “Do whatever he tells you.”(F)
6 Nearby stood six stone water jars, the kind used by the Jews for ceremonial washing,(G) each holding from twenty to thirty gallons.[b]
7 Jesus said to the servants, “Fill the jars with water”; so they filled them to the brim.
8 Then he told them, “Now draw some out and take it to the master of the banquet.”
They did so, 9 and the master of the banquet tasted the water that had been turned into wine.(H) He did not realize where it had come from, though the servants who had drawn the water knew. Then he called the bridegroom aside 10 and said, “Everyone brings out the choice wine first and then the cheaper wine after the guests have had too much to drink; but you have saved the best till now.”
11 What Jesus did here in Cana of Galilee was the first of the signs(I) through which he revealed his glory;(J) and his disciples believed in him.(K)
12 After this he went down to Capernaum(L) with his mother(M) and brothers(N) and his disciples. There they stayed for a few days.
We unaeleweshwa sana maana ya ulevi.
Na unajifanya huelewi kwakuwa unataka mabishano.
Watu kama nyinyi Maandiko yanakataza kuendelea kuwajibu.
Pametajwa Walafi hapo kwani wewe huli chakula?
Ila anayekunywa Pombe lazima awe Mlevi
Wewe umejivuna
1 Timotheo 6:4
amejivuna; wala hafahamu neno lo lote; bali ana wazimu wa kuwazia habari za maswali, na mashindano ya maneno, ambayo katika hayo hutoka husuda, na ugomvi, na matukano, na shuku mbaya;
5 na majadiliano ya watu walioharibika akili zao, walioikosa kweli, huku wakidhani ya kuwa utauwa ni njia ya kupata faida.
Kwa kweli.. ngoja muda ufike nkasumbue mtu😂 huu uzi umenikumbusha kitu muhimu sana😂😂Mwambie na mweka mada asiandike pombe abadili aite mvinyo!. Kazi iendelee.
Pumbavu huna akiliDivai ni pombe ya kienyeji ya wayahudi kama ilivyo mbege kwa wachaga au rubisi kwa wahaya au togwa!!
Ndomaana hata Yohana mbatizaji alipokuwa hanywi walimshangaa sana kwa kutotumia kinywaji asilia cha kwao
Hata Leo hii ni ajabu kukuta mchaga huko moshi hanywi mbege!!
Huyo atakuwa mchaga was dar!
Safi sana 😂We unaeleweshwa sana maana ya ulevi.
Na unajifanya huelewi kwakuwa unataka mabishano.
Watu kama nyinyi Maandiko yanakataza kuendelea kuwajibu.
Pametajwa Walafi hapo kwani wewe huli chakula?
Ila anayekunywa Pombe lazima awe Mlevi
Wewe umejivuna
1 Timotheo 6:4
amejivuna; wala hafahamu neno lo lote; bali ana wazimu wa kuwazia habari za maswali, na mashindano ya maneno, ambayo katika hayo hutoka husuda, na ugomvi, na matukano, na shuku mbaya;
5 na majadiliano ya watu walioharibika akili zao, walioikosa kweli, huku wakidhani ya kuwa utauwa ni njia ya kupata faida.
Mkuu tafsiri IPO MWANZO;9/21Nipe tafsiri ya divai in relation to origina Hebrew language to Swahili; maana Kwenye process ya tafsiri sometimes maana inapotea!
hapana bwana hakutengeneza pombe ile ilikuwa juice ya maji ya mizabibu,pombe ni haramu na ni dhambi
Kama kuna kushiba automatiki kwanini maandiko yakateze Ulafi?chakula ukila ukashiba automatically wewe mwenyewe unaacha.
Ila pombe utajuaje kuwa Sasa hapa inatoshaa?
Nipe tafsiri ya divai in relation to origina Hebrew language to Swahili; maana Kwenye process ya tafsiri sometimes maana inapotea!
Vaa suru tu usijemwaga radhi nchi ishakuwa Kijiji hii..😜Kwa kweli.. ngoja muda ufike nkasumbue mtu😂 huu uzi umenikumbusha kitu muhimu sana😂😂
Kwahiyo wewe unataka neno kilabuni. Ndo maana nakwambia una reason mambo kitoto Sana. Sababu hata neno la kufanya mapenzi nje ya ya ndoa halipo vile vile. Au kufanya mapenzi kabla ya ndoa hakuna katazo la namna hiyo kwa maneno exactly kama utakavyo wewe. Unapenda tu ubishi kama ulivyoaminishwa na huyo mwalimu Wako.Mbona andiko la kukatazwa kunywa pombe hekaluni lipo.
Ila andiko la kuruhusu kunywa pombe kilabuni halipo?
Au muandishi alisahau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujui maana ya mlevi??Soma aya ya 9.
Je walevi watauona UFALME WA MUNGU?
he huko tayari kuukosa UFALME WA MUNGU sababu ya uleviView attachment 2066784
Juice gani inaitwa wine?hapana bwana hakutengeneza pombe ile ilikuwa juice ya maji ya mizabibu,pombe ni haramu na ni dhambi
Unasemaje kuhusu wale watoto yalimpa baba yao divai akalewa afu wakaenda kuukalia mshedede wake kumaliza genye zao?-Ujue Mvinyo hutengenezwa kwa kukamua maji ya mzabibu kisha hutokea juisi divai
-Divai inaweza kuwa juisi isiyolewesha na divai inaweza kuwa pombe iliyokaa mda mrefu na hii huitwa mvinyo.
-Yesu alitengeneza juisi ya mzabibu na sio pombe, angefanya hivyo angekinzana na maandoko mengi katika biblia na hivyo leo hii tungesema Yesu hakuwa mtii kwa maandiko.
31 Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu;
32 Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira. (Mithali 23:31-32)