Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii thread Jumapili naenda kuitolea sadaka kanisani....Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Hiki kifungu wanapenda kukitumia kwenye kufakamia kitimoto tu. Kwenye ulabu wanazuga hawakioniUkiondoa kifungu hicho,pia kuna neno linasema "kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi,na sio kimuingiacho".
Tatizo dini zetu ni mapokeo kutoka Kwa wazungu,alafu sisi tunaamini tunaijua(dini/biblia) kuliko wao waliotuletea.
Ndio maana leo makanisa mengi yanahubiri mafanikio,fungu la kumi nk.
Imani na upendo vimewekwa Kandi kama sio msingi wa ukristo,yaani kumjua,kumwabudu na kumtumikia MUNGU sio jambo la msingi.
Mimi naamini kuna mahali tumekengeuka.
Pumbavu huna akili
Mkuu hukujifunza kitu kutoka kwa mbatia!!!?Pumbavu huna akili
Haiwezi tokea ..Vaa suru tu usijemwaga radhi nchi ishakuwa Kijiji hii..😜
Hata akina chupa ya choda walisema hivyohivyo..😂Haiwezi tokea ..
Mbatia hana uelewa wowoteMkuu hukujifunza kitu kutoka kwa mbatia!!!?
Naunga mkono jitihada zakoHii thread Jumapili naenda kuitolea sadaka kanisani....
Yani ajabu la kwanza kabisa la Masiha ilikuwa kutengeneza ulabu
Tumsifu Yesu Kristo....
Afu yani ni kwanini tufuate maagizo ya Paulo badala ya kufuata ya Mshua mwenyewe?Hata mimi kuna muda najiuliza barua walizoandikiwa mfano waefeso au wakorinto kwa nini tuje tusomewe sisi watanganyika?
Kwani ingekuwa kitu haramu Yesu angewatengenezea watu wanywe ili iweje? Kwamba Yeye hakunywa sio issue. Issue ni kwamba kwa kuwa aliitengeneza Pombe na kuwapa watu wanywe, aliihalalisha.Huyo jamaa katengeneza kwani Mungu wetu aliyetengeneza mito ya POMBE huko peponi anakunywa hyo POMBE.
Ndo na Mimi ninemuuliza yesu baada ya kugeuza maji kuwa pombe Kama mnavyosema.
Aya gani inasema yeye yesu mwenyewe alikunywa hyo POMBE?
Ok. Turudi kwenye mada.Mbatia hana uelewa wowote
Na kwani kuna sehemu amesema hajanywa Pombe? Tumalizie hapokwani YESU Kuna sehemu amesema amekunywa pombe?
Tuanzie hapo
Mshua naye alikuwa anaupiga mwingi sanaAfu yani ni kwanini tufuate maagizo ya Paulo badala ya kufuata ya Mshua mwenyewe?
Cha msingi ni kufuata amri kumi za mshua mwenyewe. Katika amri hizo hakuna inayosema USILEWE
Mwanae alivyokuja akaweka mambo rahisi zaidi. Akasema nawapeni amri mpya PENDANENI...
Bujibuji Simba Nyanaume nyoko hapa unigongee LIKE kudadadadeki. Afu usogee hapa Bunju tupige gambe huku tukitafakari hili neno kuntu
Isitoshe alikuwa ana uwezo wa kugeuza maji kuwa maziwa. Lakini yeye akatengeneza ulabu. Yesu alikuwa bonge la geniusKwani ingekuwa kitu haramu Yesu angewatengenezea watu wanywe ili iweje? Kwamba Yeye hakunywa sio issue. Issue ni kwamba kwa kuwa aliitengeneza Pombe na kuwapa watu wanywe, aliihalalisha.
kwani YESU Kuna sehemu amesema amekunywa pombe?
Tuanzie hapo
Kwamba ni uongo kuwa muujiza wa kwanza wa Yesu ulikuwa ni pombe? Au unamaanisha niniHata Ibilisi alipokuwa akimjaribu Yesu, alitumia maandiko kuhalalisha kama wewe
Na kwani kuna sehemu amesema hajanywa Pombe? Tumalizie hapo
Kiukweli kabisa wasingemuita mlevi kama angekuwa hapigi ulabu.Mshua naye alikuwa anaupiga mwingi sanaView attachment 2066884
Angegeuza maji kuwa Mirinda na Fanta, ila akaona mbali, miaka 2020 ijayo kuwa mabinti wataugeuza huo muujiza kuwa boyfriendIsitoshe alikuwa ana uwezo wa kugeuza maji kuwa maziwa. Lakini yeye akatengeneza ulabu. Yesu alikuwa bonge la genius
Wapi na nani amesema Yesu alikuwa bikira? USITULISHE maneno na usitutoe nje ya mada. Mada ya leo ni ulabuNa kwani Kuna sehemu yesu amesema hajawahi kufanya mapenzi?
mbona mnaamini yesu alikuwa bikra?